Kuna magreat thinkers wa ukweli humu my dia mbona wewe kuna siku ulisema unamtamani mke wa mtu? hiyo ilikaa vizuri kweli kaka angu mpenzi mimi nadhani MMU watu wanaingia kupunguza stress so chochote unaweza kukutana nacho cha maana au kisicho cha maana mradi mtu amejifurahisha na kuburudisha mtima wake huu ni mtazamo wangu tu

Sawa lakini siyo kueleza kwamba nimemgonga fulani maty nadhani umenielewa!!
Mimi napata tabu sana kuelewa mawazo ya watu!!hivi humu JF ni sehemu ya watu wanaobarehe??aiingii akirini umepata demu wako umegonga unakuja kuanika huku,huu nadhani siyo usitaarabu hata kidogo,zamani ukipata demu kipindi cha barehe ndo unaenda kuhadithia! sasa humu kumegeuka hivyo!!No more Great thinker??:angry:
Huko huru na mimi nimekuelewa hivyo na mimi ulikuwa mtizamo wangu pia!!Mkuu, Tanzania hii ina watu zaidi ya 40milioni, na hawa watu wako tafouti kimawazo na tabia 100%, hivyo tuna tabia tofautitofauti zaidi ya 40m, ninacho kiwaza, kipenda au kukichukia mimi si sawa na wewe wala yule. Hivyo tuvumiliane kwa yote, ila mwisho wa siku kila mtu anafurahi kwa kupata kile anachokitaka toka humu ndani.
Moja ya njia za ku release stress ni kujipa raha mwenjewe, hivyo JF ni sehemu watu wanapo jipa raha kwa kuongea yale yanayowafanya wapate raha, tuchukuliane hivyo mkulu KIIZA Huu ni mtazamo wangu jamani msinipige kamba.
yaah!What do you think on this??is two eggis and one sausage!!
safi sana teamo kwa kuliona hilo... great thinking indeed
Mimi napata tabu sana kuelewa mawazo ya watu!!hivi humu JF ni sehemu ya watu wanaobarehe??!No more Great thinker??:angry: