No NFL fans?

Freema Agyeman

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
3,666
Reaction score
3,532
Hakuna shabiki au wapenzi wa National Football League? Nasoma Yahoo kuwa playoffs zinaendelea na humu kimyaaa! Au ni macho yangu tu?
 
ndio ligi nchi gani hiyo? maana sisi wengine tunafuatilia la liga, epl na uefa bila kusahau ligi kuu tanzania bara, sasa hiyo wengine hatuijui.
 
ndio ligi nchi gani hiyo? maana sisi wengine tunafuatilia la liga, epl na uefa bila kusahau ligi kuu tanzania bara, sasa hiyo wengine hatuijui.

Ndio hivyo uijue sasa. Vizuri kujifunza kitu kipya.
 
Ni National Football League ya Marekani, ni ule mpira wa miguu wanavaa hellmete

Nilibahatika kuutizama huu mchezo nikaupenda. Kila mwaka nafuatilia yahoo na kuna wakati naangalia live stream online. It is a physical game, wachezaji wako competitive na mori km wanamieleka. Napenda kuangalia defense wanavyocheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…