kalistus komba
Member
- Nov 22, 2017
- 16
- 5
Eet, inasemekana maamuzi ya rais kumtoa babu seya kavunja katiba ya nchi kwasababu babu seya alikuwa kasha thibitishwa na mahakama kama ni anaatia, so nini maoni yako??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heading rekebisha umekosea kiingereza,Hata kama heading ungeandika kiswahili tungeelewa tu...!!!
Anyway, story za "inasemekana", huwa ni mawazo ya watu tu na story za vijiweni.
Nadhani hata Magu kamsamehe baada ya kuongea na Jaji Mkuu ili kupata msaada wa kisheria.
Wapi mkuu?? Kwani ukiandika comment kwenye thread ya mtu unaweka na heading..??heading rekebisha umekosea kiingereza,
Naona mkuu unapambana kujitetea..!!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ok, kuandika kiingereza siyo shida na mimi nilijua kuwa mtaelewa tu,,, Ok, lakini jaji aliweza kusamehe katika vipengere vipi vya kisheria?
Eet, inasemekana maamuzi ya rais kumtoa babu seya kavunja katiba ya nchi kwasababu babu seya alikuwa kasha thibitishwa na mahakama kama ni anaatia, so nini maoni yako??