Aliye perfect ni Mungu peke yake. Au labda tupate ufafanuzi nini maana ya perfect kutoka kwa mleta hoja na kutoka kwako.
Aliye perfect ni Mungu peke yake. Au labda tupate ufafanuzi nini maana ya perfect kutoka kwa mleta hoja na kutoka kwako.
Nani kakudanganya hamna watu perfect?Speak for your self pal.
Kuhusu kuacha na kuachana hatuwezi wote tukaishi kwa kanuni moja.Ndio maana mimi sio wewe wala wewe sio mimi.Na tofauti hizo ndo zinafanya unaona kuna wavumilivu wenye mipaka yao. . . .ving'ang'anizi wasio na mipaka pia wanaotanguliza mipaka.
Mungu yuko perfect kivipi?
Hakuna sugu katika mapenzi kila mtu atapata mjanja anayempenda uvumilivu,subira ni vitu muhimu katika mapenzi,watu wengi huona wenzi wao hawafai pale tu wanapo wakosea huamua kuwaacha lakini tu jiulize wewe hukuwahi kufanya kosa lolote katika maisha yenu.Hakuna aliyekamilika,kaeni jadilianeni kwa upole mtapata muafaka.
Yeahh. . . jipe moyo.Real no 1 is perferct..hebu fikiria ni nani anayeweza* kuokota jiwe na kumpiga mwenye dhambi,kama uliyemwona ni perfect basi huyo anapretend tu na hujamfanyia assessment za kutosha. Be care