No Paved Roads leading to the Kenyan SGR station...

No Paved Roads leading to the Kenyan SGR station...

Na mbona mna-launch kabla ya barabara? ama hamkujua barabara itahitajika?
kazi kubwa ilikuwa kuweka railway... tumemkula ng'ombe mzima(Railway) tutashindwa na mkia???
just hold on to your - Mwenyekiti wa "Kamati ya Roho chafu", we will update you soon...
 
Walisema eti hatutofika naivasha, sai wamejeuza gear angani wakifuata habari zetu zinazo ongelea changamoto kabisa kuhusu reli yetu, tukifika kisumu mwisho watasema malaba, kamapala nako pia hvo hvo...
Mwisho watasema hamtofika Nigeria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Geza ulole. Kwn david ndii siku hz amekupa talaka...
Manake umeacha kabisa kum quote..
Joto la jiwe. Kidogo ndio naona ako na mahaba naye siku hz
 
Walisema eti hatutofika naivasha, sai wamejeuza gear angani wakifuata habari zetu zinazo ongelea changamoto kabisa kuhusu reli yetu, tukifika kisumu mwisho watasema malaba, kamapala nako pia hvo hvo...
Mwisho watasema hamtofika Nigeria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Onyesha kama mumefika Naivasha, reli imeishia porini, 40K kufika Naivasha, mnashindwa hata kumalizia kuifikisha hapo Naivasha, Failed state.
 
Wakati mwingine usiandike vitu for the sake of propaganda.You look and sound silly
 
Ila terminals zao nzuri 😍😍😍
Trains zao zingekua kama zile zetu za kwenye pictures ingependeza sana
 
Back
Top Bottom