technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
hayajifunziNiseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!!
Hata uwape ajira mamilioni, uwape mikopo yote, uboreshe elimu, afya na barabara kiasi gani Watanzania wa leo hawatakuelewa.
Kwanini kwa sababu kampeni ya no reform no Election imeshaingia kwenye damu za Watanzania.
Hata ufanye Nini Watanzania na no reform no Election ishawaingia kwenye damu.
Nyie endeleeni kutuuwa Ila nawaambia CCM kiongozi yeyote atakayeingia madarakani halafu akaitupa hii ajenda ya no reform no Election
Hii hoja ya no reform no election ni Kama Maagano hakika zibeni masikio Ila nawaakikishia itameza wazee wanaoshupaza shingo mpaka vitukuu vyao!!
Magufuli hajawapa funzo tu endeleeni kushupaza shingo!!.
Hili ni agano kali sana lazima litaumbua miungu watu mwaka huuNiseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!!
Hata uwape ajira mamilioni, uwape mikopo yote, uboreshe elimu, afya na barabara kiasi gani Watanzania wa leo hawatakuelewa.
Kwanini kwa sababu kampeni ya no reform no Election imeshaingia kwenye damu za Watanzania.
Hata ufanye Nini Watanzania na no reform no Election ishawaingia kwenye damu.
Nyie endeleeni kutuuwa Ila nawaambia CCM kiongozi yeyote atakayeingia madarakani halafu akaitupa hii ajenda ya no reform no Election
Hii hoja ya no reform no election ni Kama Maagano hakika zibeni masikio Ila nawaakikishia itameza wazee wanaoshupaza shingo mpaka vitukuu vyao!!
Magufuli hajawapa funzo tu endeleeni kushupaza shingo!!.
Sina uhakika sana kuhusu kufika kwa NRNE vijijini. Kule ambako Nina uhakika siku ya uchaguzi wakionyeshwa noti ya 10,000 watajipata tayari kwa foleni tayari Kwa kupiga kura. Isije ikawa NRNE inabamba kwenye miji peke yake. CDM fanyeni jambo na vijijini waelewe somo.Niseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!!
Hata uwape ajira mamilioni, uwape mikopo yote, uboreshe elimu, afya na barabara kiasi gani Watanzania wa leo hawatakuelewa.
Kwanini kwa sababu kampeni ya no reform no Election imeshaingia kwenye damu za Watanzania.
Hata ufanye Nini Watanzania na no reform no Election ishawaingia kwenye damu.
Nyie endeleeni kutuuwa Ila nawaambia CCM kiongozi yeyote atakayeingia madarakani halafu akaitupa hii ajenda ya no reform no Election
Hii hoja ya no reform no election ni Kama Maagano hakika zibeni masikio Ila nawaakikishia itameza wazee wanaoshupaza shingo mpaka vitukuu vyao!!
Magufuli hajawapa funzo tu endeleeni kushupaza shingo!!.
Hiko wazi na hakuna mchezo kabisa atuwezi kuwa na taifa la kutekana hapana kabisa mkoloni mweusi must nje kabisaNiseme wazi kwa Sasa Mtanzania wa Leo hata mwanasiasa amfanyie Nini atanungunika tu na atahoji na kuhitaji zaidi!!