Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Magugu huota kirahisi kuliko mazao, upumbavu na ujinga ni rahisi sana kuupata kuliko werevu.Kumekuwa na kauli inayozidi kushika kasi miongoni mwa wanasiasa wa upinzani: “No reform, no election.” Wana maana gani? Wanataka kusema kuwa hawatashiriki uchaguzi mpaka marekebisho ya mfumo wa uchaguzi yafanyike. Lakini je, hii ni hoja ya msingi au kisingizio cha kukwepa ushindani?
1. Marekebisho si kisingizio cha kukwepa uchaguzi
Kila mfumo wa uchaguzi duniani una mapungufu, hata nchi zilizoendelea bado zinakumbana na changamoto mbalimbali za uchaguzi. Lakini wanasiasa wa kweli hawawezi kusubiri mfumo uwe “mkamilifu” ndipo washiriki. Wanaingia kwenye uchaguzi, wanapambana na kushinda kwa hoja.
2. Historia inaonyesha wapinzani wameshinda hata bila marekebisho makubwa
Katika chaguzi zilizopita, wapo wagombea wa upinzani walioshinda nafasi mbalimbali, kutoka madiwani hadi wabunge. Kama mfumo ni mbovu kiasi hicho, waliwezaje kushinda? Tatizo ni hoja dhaifu na maandalizi mabaya, si mfumo wa uchaguzi pekee!
3. Kushiriki ni njia bora ya kushinikiza mabadiliko
Mabadiliko makubwa ya mfumo wa uchaguzi hayawezi kupatikana kwa kususa. Kushiriki uchaguzi ni fursa ya kupata wawakilishi wa kusukuma mabadiliko ndani ya mifumo rasmi, kama bungeni. Wanasiasa wanaokaa nje ya uwanja wakilalamika hawawezi kuleta mabadiliko yoyote.
4. Wananchi wanahitaji viongozi, si maneno matupu
Mtu anaposema “No reform, no election” anamaanisha nini kwa wananchi? Anawaambia wasiwe na viongozi wa kuwawakilisha? Siasa ni mapambano, na anayekataa kuingia ulingoni hana nia ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Badala ya kauli ya “No reform, no election,” tunahitaji kauli ya “Tunaingia na tunashinda.” Mabadiliko hayaletwi kwa maneno, bali kwa vitendo. Wanasiasa wanaoamini katika mabadiliko ya kweli wanapaswa kupambana ndani ya mfumo uliopo huku wakisukuma mabadiliko wanayoyataka.
Unashindana ushinde wakati umefungwa mikono mbele ya adui aliye HURU,mkuu upo sawa kweli kichwani?Kumekuwa na kauli inayozidi kushika kasi miongoni mwa wanasiasa wa upinzani: “No reform, no election.” Wana maana gani? Wanataka kusema kuwa hawatashiriki uchaguzi mpaka marekebisho ya mfumo wa uchaguzi yafanyike. Lakini je, hii ni hoja ya msingi au kisingizio cha kukwepa ushindani?
1. Marekebisho si kisingizio cha kukwepa uchaguzi
Kila mfumo wa uchaguzi duniani una mapungufu, hata nchi zilizoendelea bado zinakumbana na changamoto mbalimbali za uchaguzi. Lakini wanasiasa wa kweli hawawezi kusubiri mfumo uwe “mkamilifu” ndipo washiriki. Wanaingia kwenye uchaguzi, wanapambana na kushinda kwa hoja.
2. Historia inaonyesha wapinzani wameshinda hata bila marekebisho makubwa
Katika chaguzi zilizopita, wapo wagombea wa upinzani walioshinda nafasi mbalimbali, kutoka madiwani hadi wabunge. Kama mfumo ni mbovu kiasi hicho, waliwezaje kushinda? Tatizo ni hoja dhaifu na maandalizi mabaya, si mfumo wa uchaguzi pekee!
3. Kushiriki ni njia bora ya kushinikiza mabadiliko
Mabadiliko makubwa ya mfumo wa uchaguzi hayawezi kupatikana kwa kususa. Kushiriki uchaguzi ni fursa ya kupata wawakilishi wa kusukuma mabadiliko ndani ya mifumo rasmi, kama bungeni. Wanasiasa wanaokaa nje ya uwanja wakilalamika hawawezi kuleta mabadiliko yoyote.
4. Wananchi wanahitaji viongozi, si maneno matupu
Mtu anaposema “No reform, no election” anamaanisha nini kwa wananchi? Anawaambia wasiwe na viongozi wa kuwawakilisha? Siasa ni mapambano, na anayekataa kuingia ulingoni hana nia ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Badala ya kauli ya “No reform, no election,” tunahitaji kauli ya “Tunaingia na tunashinda.” Mabadiliko hayaletwi kwa maneno, bali kwa vitendo. Wanasiasa wanaoamini katika mabadiliko ya kweli wanapaswa kupambana ndani ya mfumo uliopo huku wakisukuma mabadiliko wanayoyataka.
Kitu unachoongea ni hopeless kabisa ,usichukulie mifano ya uchaguzi wa nyuma na uchaguzi kuanzia 2019 mpaka 2024 hizo zama ni mbingu na Ardhi hazifanani hata kidogo.kipindi cha nyuma wagombea walikuwa hawaenguliwe hivi sasa robo tatu ya wagombea wanaenguliwa.Vituoni kura zilikuwa zinapigwa vizuri na kuhesabiwa na kila wakala anapata idadi ya kura za mtu wake aliye msimamia hivi sasa huo utaratibu hakuna,ilikuwa kura zikimaliza kuhesabiwa katka kituo idadi ya kura za kituo hicho kuanzia ,diwani,mbunge na raisi ,, zinabandikwa nje yakituo siku hizi hilo halipo,Zamani wasimamizi wauchaguzi hawakuwa makada wa chama chochote,hivi sasa mpaka wakurugenzi na makamishina wa tume ni makada.Zamani kampeni zilikuwa huru na hazikuwa zinaingiliwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya dola.Hivi sasa vyombo vya dola vinataka wewe uzungumze yale yatakayo wafurahisha wao ,badala yakumuachia msajili havichukulie hatua vyoma vinavyokwenda kinyume na usajili vyombo vya dola ndivyo vinajifanya wao ndiyo regulator wa siasa.kwahiyo msajili yeye anabaki kama kibogoyo.Ushindani kwa sasa hauwezekani kwakuwa mfumo wa uchaguzi uehabiwa makusudi.Pia sheria nyingi pia zimevurugwa makusudi,tofauti na zamani,uchaguzi huru na haki hauwwzekani tena Tanzania ,pamoja na hao CDM kusema no reform no ele,,ection lakini asilimia kubwa watu hawajitokezi kwenye chaguzi ,idadi za matokeo huwa hazina uhalisia na wapiga kura ndiyo maana huwa hawataki kubbandika matokeo na kutoa nakala za matokeo kwa mawakala.Serikali isipo rekebisha hii hali viongozi watakao patikana watakuwa ni viongozi wasiyo na ridhaa ya wananchi. Na viongozi wanamna hiyo hawawezi kuwaletea maendeleo wananchi kwa sababu hawakuwekwa pale kwa matakwa ya wananchi.Serikali ya CCM bado inauwezo wakuliangalia hilo na kulirekebisha.Lakini wakijiona kuwa wao ni wanufaika wa mfumo uliopo sasa watadidimiza nchi nakusababisha uchumi wa nchi kuangamia kabisa.Bado nafasi ipo.Mungu ibariki TanzaniaKumekuwa na kauli inayozidi kushika kasi miongoni mwa wanasiasa wa upinzani: “No reform, no election.” Wana maana gani? Wanataka kusema kuwa hawatashiriki uchaguzi mpaka marekebisho ya mfumo wa uchaguzi yafanyike. Lakini je, hii ni hoja ya msingi au kisingizio cha kukwepa ushindani?