PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
You might be a little right but not okay.Ndiyo maana ya kupishana mitizamo.Ulitaka nimkubalie tu na kumpa "like"?Hell no!
Kupishana kimtazamo ni ubinadamu na yatupasa kuvumiliana katika tofauti zetu. Bali kutumia lugha ulotumia kuonesha kutokubaliana kwao na maoni ya Ngabu haikubaliki katika jamii ya watu waliostaarabika. Sorry if I’m rubbing you the wrong way
 
No reform no election
 
Wanaodai NRNE wameona kuna tatizo la mfumo wa uchaguzi. Je unasadiki kuwa kuna tatizo ktk mfumo wa uchaguzi?
matatizo always yapo, lakini huwezi ku-solve kwa kususia uchaguzi, wakati majority wana acknowledge hizo changamoto na wanaendelea kuzipambania wakiwa ulingoni, yupi ni smart hapo?
 

View: https://youtu.be/beHOFgVJLnk
 
Kupishana kimtazamo ni ubinadamu na yatupasa kuvumiliana katika tofauti zetu. Bali kutumia lugha ulotumia kuonesha kutokubaliana kwao na maoni ya Ngabu haikubaliki katika jamii ya watu waliostaarabika. Sorry if I’m rubbing you the wrong way
Una changamoto kwenye kichwa chako.Niamini.
 
Mimi ambaye sina hata hizo akili chache za kukuelewa ninachoona ni CDM wamekwanda hatua tatu zaidi mbele zaidi ya hatua yako moja ya kugomea uchaguzi

CDM wanajua hata UKIGOMA PEKEE(msimamo wako)what is next? bado wakina ACT and the co watashiriki na uchaguzi utakuwepo kama kawaida
Ndio maana Wao wakaenda mbele zaidi kwa kutaka kwanza sheria zibadilishwe na kama hazibadilishwi wanagoma kushiriki na wakaenda mbele zaidi kuanzisha kampeni watu WAZUIE uchaguzi

Naona watu wanataka kuigeuza hii kampeni kama ni ya KUZUIA UCHAGUZI TU
Kuzuia ni hatua ya mwisho kabisa iwapo madai mengine hayata tekelezwa

Issue ya kufanikiwa au kushindwa ni matokeo...... huu ni mpambano kuna kushinda na kushindwa
But hii ni process mkuu

Unless otherwise una the best option
 
CDM wamesema watazuia uchaguzi, na slogan yao inajieleza "NRNE"
Kabla ya KUGOMEA wanataka kwanza MAREKEBISHO

Kwanini hujadili hoja ya msingi MABADILIKO

Au Unadhani CDM ni vichaa wanataka kuzuia uchaguzi from nowhere?
 
CHADEMA watazuiaje uchaguzi ?
 
Tofauti ya Ukawa na hii, No Reform, No Election watu hawatapiga kura.

Kwa haraka haraka ni kama kitu kidogo.
 
Kabla ya KUGOMEA wanataka kwanza MAREKEBISHO

Kwanini hujadili hoja ya msingi MABADILIKO

Au Unadhani CDM ni vichaa wanataka kuzuia uchaguzi from nowhere?
Endeleeni kuka bench kusubiri mabadiliko, fight a fight within the system, ukiwa outsider unakosa uhalali, ruzuku ndyo ilikuwa rasilimali njema, sasa hiyo vita mtapigana kwa hiyo tonetone fund, against 18 political parties walioko ndani ya mfumo?? "Common sense is not common" hampambani ni sisiem, sasa mnapambana na vyama 18, one fractured party against all hizo NrNe za mtandaoni ndyo mnaamini zitazuia uchaguzi ili muwe included???
 
CHADEMA watazuiajenuchaguzi?
Njia pekee iliyobakia kulazimisha MABADILIKO ni kama mbwai iwe mbwai

Walijaribu kwenye maandamano IKAFELI
Wanajaribu na kwenye kuzuia uchaguzi...... you never know mkuu inaweza ikawa ndio trigger watu wakaingia mtaani kikawaka

Ulitaka WAGOME, wamegoma

Haya ya baada ya kugoma waachie wenyewe sababu hakuna maana ya kugoma halafu unarudi nyumbani

Sielewi, ulitaka wafanyake baada ya kutokushiriki?
 
Kukinukisha?? baada ya hapo so what?? MTUME wenu TAL ataenda Ubelgiji, nyie wamatumbi, warugaruga mtaenda wapi???
 
Mb
Unataka CDM wakwambie wataishije baada ya uchaguzi mkuu? πŸ˜‚πŸ˜‚

CDM wala hawana Ugonvi na mbwa(vyama vingine)
Wao wana ugonvi na mwenye mbwa
Akiwatumia kumshambulia CDM hiyo ndio vita yenyewe muraa
 
Kukinukisha?? baada ya hapo so what?? MTUME wenu TAL ataenda Ubelgiji, nyie wamatumbi, warugaruga mtaenda wapi???
Tutabanana hapa hapa hadi kieleweke
 
Haiwi kama ukawa kwasababu ni agenda ya chama kimoja hao wengine ni washabiki tu hawabebi uzito wowote.

Ukawa ulikuwa muungano wa vyama.

Hiyo No Reforms No Election inapelekea CHADEMA kufutwa siyo agenda ndogo.

CCM wali jua wakiiua chadema pata poa, wakaanza kuingilia uchaguzi wakafanikiwa.

Wakamkamata LISU na kumuweka ndani kwa kesi zisizo na dhamana wakafanikiwa.

Sasa kwa kutumia wadhamini wameifungulia kesi na kusitisha shughuli zao za kisiasa.

Sasa hakuna wa kuineza no Reform na Election tena.

With high surgical precision, they have successfully disassembled CHADEMA.
 
Mb

Unataka CDM wakwambie wataishije baada ya uchaguzi mkuu? πŸ˜‚πŸ˜‚

CDM wala hawana Ugonvi na mbwa(vyama vingine)
Wao wana ugonvi na mwenye mbwa
Akiwatumia kumshambulia CDM hiyo ndio vita yenyewe muraa
Common sense is not common
Mb

Unataka CDM wakwambie wataishije baada ya uchaguzi mkuu? πŸ˜‚πŸ˜‚

CDM wala hawana Ugonvi na mbwa(vyama vingine)
Wao wana ugonvi na mwenye mbwa
Akiwatumia kumshambulia CDM hiyo ndio vita yenyewe muraa
😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…