The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Endelea na shughuli zako tu hakuna kupiga kuraUsalama kwanza
Tusilichukulie poa neno hili la no reforms no election. Watanzania tuna haki ya kujua kama siku hiyo tutarajie kuona, kusikia au kupatwa na kitu gani kutokana na harakati za kuzuia uchaguzi kama hizo reforms hazitatekelezwa ili tujiandae mapema.
Kuna wakati nilitaka kuamini kuwa no reforms no election itatekelezwa kwa kuhamasisha watu wabaki majumbani wasiende kupiga kula lakini kumbe nilikuwa najidanganya mwenyewe, hasa baada ya kumsikia Mh. Lissu akisema watakinukisha vibaya sana siku hiyo. Hapo ndiyo nikajua kuwa huwezi kukinukisha vibaya sana kwa kulala nyumbani siku ya uchaguzi usiende kupiga kura.
Kukinukisha vibaya sana nchi nzima siku ya uchaguzi ambayo watu wengi watakuwa kwenye misululu mirefu ya kusubiri kupiga kura mbele ya askali polisi wanaolinda usalama wa wapigakura, wasimamizi na masanduku ya kura bila shaka yoyote lazima kutasababisha mzozano mkubwa sana kati ya wanaotaka kupiga kura dhidi ya wasiotaka kupiga kura, vyombo vya usalama dhidi ya wanaozuia watu wasipige kura, na wanaotaka kupiga kura wakisaidiwa na walinzi wa uchaguzi dhidi ya wanaopinga uchaguzi. Kwavyovyote vile mzozano kama huu lazima utazalisha hasira, kugombana, majeraha na mauaji kwa raia na wanausalama. Hii inanitia hofu na sipendi mimi na familia yangu kuichukulia poa.
Kama mimi nimeogopa hivi bila shaka hata Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya na vyombo vyote vya ulinzi na usalama huenda navyo vimeogopa kama mimi au zaidi pengine kuliko mimi; maana hawa tumewapa dhamana ya kutulinda sisi na mali zetu. Naomba watu hawa watuhakikishie usalama wetu na watueleze mapema wajibu wetu siku hiyo ili tujiandae.
Hii agenda emexpire, watu wamepata muda mwingi wa kuitafakari wakaona ni utapeli tu. Lema mwenyewe yuko Canada na familia yake, ameondoka na tonetone zetu, na mhe, Lissu anazunguusha ngumi korokoroni, kuna nini tena hapo. Atatoka baada ya watu kuapa na nchi kupata viongozi wake.Ipo, no reforms no election
Hatwendi kwa kumuangalia mtu mmoja sio Mungu huyo!Hii agenda emexpire, watu wamepata muda mwingi wa kuitafakari wakaona ni utapeli tu. Lema mwenyewe yuko Canada na familia yake, ameondoka na tonetone zetu, na mhe, Lissu anazunguusha ngumi korokoroni, kuna nini tena hapo. Atatoka baada ya watu kuapa na nchi kupata viongozi wake.
Kila alfajiri lazima wanipigie simu kuulizia kama nimetekwa na mimi.Unajuwaje kama wazazi waks hawajatekwa?
Daini bongo zenu huko ccm
Ndipo sasa ulipo mizizi wa tatizo.Hayo ni mapinduzi, na ndiyo uhaini wenyewe sasa unaosemwa. kama watu hawatajitokeza kupiga kura maana yake nchi haitakuwa na Rais, wabunge, na madiwani; hivyo hakutakuwa na mawaziri wala bajeti. Katiba yetu itakuwa imeparaganyika maana haisemi kitu kuhusu hilo.
Hivi huyo alinacha alikuwa mtu wa wapi?Kuna sehemu nilimsikia mtu ikibidi bendera ipepee nusu mlingoti.
Ni mchungaji mmoja hivi.
Sasa sijui kamba ya kuipandisha bendera imekuwa fupi au upepo wa kuipepea umeshuka chini kwa mujibu wa TMA, anyway iwe iwavyo itekelezwe.
Ni vigumu kutabiri kama kura zitaibwa au la, Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Sugu, Msigwa, nk waliwahi kuwa wabunge wa kuchaguliwa kwa kutumia katiba hiihii, sijui iliwezekana vipi hilo kutokea kwenye tume mbaya kama hiyo unayosema.Ndipo sasa ulipo mizizi wa tatizo.
Bila Reforms, hapatafanyika uchaguzi. Ili ufanyike, shart reforms ziwwpo kwa katiba kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.
Ili yote yawepo, lazima tupate sanduku la kura lisilonajisiwa,
Tupate viongozi watakaochaguliwa kwa haki si kwa hila.
Kama kuzuia uchaguzi batili usifanyike, kama kuzuia wizi wa kura ni uhaini, basi kumbe wahaini tupo wengi sana.
NRNE 💪 🔥
Naongelea kura ya Urais.Ni vigumu kutabiri kama kura zitaibwa au la, Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Sugu, Msigwa, nk waliwahi kuwa wabunge wa kuchaguliwa kwa kutumia katiba hiihii, sijui iliwezekana vipi hilo kutokea kwenye tume mbaya kama hiyo unayosema.
Muundo wa tume ya uchaguzi uko kwenye katiba ya nchi. Kuibadilisha tume lazima uibadilishe vifungu vya katiba. katiba ni ya wananchi wote 65m sio ya viongozi wa siasa tu. Hivyo kuibadilisha katiba lazima tuhusishwe sisi wote hata tusiojuwa na vyama, Unaposema no reforms no election ni juhudi za kikundi kulazimisha kupora madaraka ya wananchi. Lazima tupate muda wa kurudi kwa wananchi wote waamue juu ya madaraka.Naongelea kura ya Urais.
Kura hiyo isiibwe,
Na Tume huru iwe mpya itayoruhusu matokeo ya Urais kukatiwa rufaa Mahakamani.
Sijui unaelewa?
SIyo alinacho ni mbeba maono anaweza kusukuma gurudumu hili mbele kwa nafasi yake.Hivi huyo alinacha alikuwa mtu wa wapi?
Usalama kwanza
Tusilichukulie poa neno hili la no reforms no election. Watanzania tuna haki ya kujua kama siku hiyo tutarajie kuona, kusikia au kupatwa na kitu gani kutokana na harakati za kuzuia uchaguzi kama hizo reforms hazitatekelezwa ili tujiandae mapema.
Kuna wakati nilitaka kuamini kuwa no reforms no election itatekelezwa kwa kuhamasisha watu wabaki majumbani wasiende kupiga kula lakini kumbe nilikuwa najidanganya mwenyewe, hasa baada ya kumsikia Mh. Lissu akisema watakinukisha vibaya sana siku hiyo. Hapo ndiyo nikajua kuwa huwezi kukinukisha vibaya sana kwa kulala nyumbani siku ya uchaguzi usiende kupiga kura.
Kukinukisha vibaya sana nchi nzima siku ya uchaguzi ambayo watu wengi watakuwa kwenye misululu mirefu ya kusubiri kupiga kura mbele ya askali polisi wanaolinda usalama wa wapigakura, wasimamizi na masanduku ya kura bila shaka yoyote lazima kutasababisha mzozano mkubwa sana kati ya wanaotaka kupiga kura dhidi ya wasiotaka kupiga kura, vyombo vya usalama dhidi ya wanaozuia watu wasipige kura, na wanaotaka kupiga kura wakisaidiwa na walinzi wa uchaguzi dhidi ya wanaopinga uchaguzi. Kwavyovyote vile mzozano kama huu lazima utazalisha hasira, kugombana, majeraha na mauaji kwa raia na wanausalama. Hii inanitia hofu na sipendi mimi na familia yangu kuichukulia poa.
Kama mimi nimeogopa hivi bila shaka hata Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya na vyombo vyote vya ulinzi na usalama huenda navyo vimeogopa kama mimi au zaidi pengine kuliko mimi; maana hawa tumewapa dhamana ya kutulinda sisi na mali zetu. Naomba watu hawa watuhakikishie usalama wetu na watueleze mapema wajibu wetu siku hiyo ili tujiandae.
Lengo ni kulinda ustawi wa raia kijamii, kiuchumi na kisiasa. Uhuru wako unaishia pale unaponza uhuru wangu. haiwezekani kwa mwaka mzima barabara hazipitiki kwa maandamano ya wanasiasa.Kwani Lumumba si mnaenda kutiki kwa Bi Mwenda hiyo October wasiwasi wenu ni upi?
Mlishasema CHADEMA imejifia msajili na mahakama wameizuia kufanya shughuli zote za kisiasa bila kujulikana zuio hili litaisha lini.
Wanalumumba sasa kwanini muumie wakati kwenye sanduku atakuwepo bi Mwenda pekeyake mtatiki hadi mtikise viuno hilo bado haliwapi furaha ?
Mmjeiandaaje kusherekea ushindi wa kishindo zaidi ya ule wa Magufuli 2020?
Maana bi Mwenda atapata 100% na hilo hata mtoto wa shule ya vidudu analijua.
Saa hizi nadhani mlitakiwa mtuambie mmejiandaa vipi na sherehe ya kumuapisha rais aliyepita bila kupingwa kwa 100% ni rekodi kubwa kwenu na Africa nzima au hilo hamlijui?
Wew mjinga,
Hakuna mpiga kura atajitikeza siku hiyo akisikia kuna maandamano nchi nzima.
Bila Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya,na CHADEMA kushiriki na Lissu kuachiwa,
Uchaguzi batili UTAYEYUKA.
NRNE 💪 🔥
Usalama kwanza
Tusilichukulie poa neno hili la no reforms no election. Watanzania tuna haki ya kujua kama siku hiyo tutarajie kuona, kusikia au kupatwa na kitu gani kutokana na harakati za kuzuia uchaguzi kama hizo reforms hazitatekelezwa ili tujiandae mapema.
Kuna wakati nilitaka kuamini kuwa no reforms no election itatekelezwa kwa kuhamasisha watu wabaki majumbani wasiende kupiga kula lakini kumbe nilikuwa najidanganya mwenyewe, hasa baada ya kumsikia Mh. Lissu akisema watakinukisha vibaya sana siku hiyo. Hapo ndiyo nikajua kuwa huwezi kukinukisha vibaya sana kwa kulala nyumbani siku ya uchaguzi usiende kupiga kura.
Kukinukisha vibaya sana nchi nzima siku ya uchaguzi ambayo watu wengi watakuwa kwenye misululu mirefu ya kusubiri kupiga kura mbele ya askali polisi wanaolinda usalama wa wapigakura, wasimamizi na masanduku ya kura bila shaka yoyote lazima kutasababisha mzozano mkubwa sana kati ya wanaotaka kupiga kura dhidi ya wasiotaka kupiga kura, vyombo vya usalama dhidi ya wanaozuia watu wasipige kura, na wanaotaka kupiga kura wakisaidiwa na walinzi wa uchaguzi dhidi ya wanaopinga uchaguzi. Kwavyovyote vile mzozano kama huu lazima utazalisha hasira, kugombana, majeraha na mauaji kwa raia na wanausalama. Hii inanitia hofu na sipendi mimi na familia yangu kuichukulia poa.
Kama mimi nimeogopa hivi bila shaka hata Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya na vyombo vyote vya ulinzi na usalama huenda navyo vimeogopa kama mimi au zaidi pengine kuliko mimi; maana hawa tumewapa dhamana ya kutulinda sisi na mali zetu. Naomba watu hawa watuhakikishie usalama wetu na watueleze mapema wajibu wetu siku hiyo ili tujiandae.
Ustawi upi huo?Lengo ni kulinda ustawi wa raia kijamii, kiuchumi na kisiasa.
Uhuru upi huo unaouzungumzia hebu elezea vizuri, nani yuko huru na nani hayupo huru.Uhuru wako unaishia pale unaponza uhuru wangu. haiwezekani kwa mwaka mzima barabara hazipitiki kwa maandamano ya wanasiasa.