acha upotoshaji gentleman,Katiba yetu ya nchi inatamka wazi kabisa kuwa mamlaka yote ya utawala yatatoka kwa wananchi kupitia uchaguzi ulio wa haki. Hivyo kitendo chochote cha kuzuia uhuni wa kupokonya mamlaka ya wananchi ya kuamua nani awaongoze, ni ukiukaji wa msingi wa katiba yetu. Wananchi tusikubali kuwa sehemu ya kukiuka katiba ya nchi.
Kama wewe ni mwananchi mzalendo wa kweli, unayeipenda nchi yako na wananchi wenzako, usikubali kushiriki kwenye tendo lolote lililo kinyume na katiba ya nchi.
Maadamu watanzania tuna uhakika wa asilimia 100 kuwa mfumo wetu wa uchaguzi siyo wa haki, hatustahili kamwe kushiriki kwenye uchaguzi shetani unaokiuka misingi ya katiba, kwani tunajua kabisa kuwa ili kuwe na uchaguzi wa haki, ni lazima:
1. Tuwe na tume huru ya uchaguzi - kwa sasa hatuna tume huru ya uchaguzi, kwani iliyopo imewekwa na mgombea wa CCM. Kwa hiyo ni tume ya uchaguzi ya CCM. Hii haina haki yoyote ya kusimamia uchaguzi, labda ikasimamie uchaguzi wa CCM.
2. Tuwe na kanuni zinazosimamia haki, uhuru, uwazi na usawa wakati wa uchaguzi - kwa sasa tuna kanuni za hovyo kabisa za uchaguzi zinazoondoa haki, uhuru na uwazi wakati wa uchaguzi. Zinazuia mawakala kupewa nakala ya matokeo, zinazuia mawakala kupiga picha, zinazuia uhesabuji wa kura kwa njia ya wazi, zinazuia wananchi kushuhudia zoezi la kuhesabu kura, kama inavyofanyika kwa mataifa mengi.
3. Tuwe na mfumo unaozuia vyombo vya dola kama polisi, kwa namna yoyote kuingilia mchakato wa uchaguzi - kanuni zetu ni za hovyo kabisa kwani zimewaweka polisi mbele kwenye zoezi zima la uchaguzi na kuwafanya kuwa waamuzi wa hatua mbalimbali wakati wa uchaguzi, ikiwemo kuwaondoa kwa nguvu mawakala wa vyama vya upinzani, kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani, kupiga watu, kuwakamata watu na kuwabambikia kesi za ajabu, kama vile kesi za mauaji wakati wa uchaguzi.
4. Tuwe na mfumo unaotaka kuwa na wasimamizi huru - kwa sasa, kwa sasa wasimamizi wote wa uchaguzi ni wateule wa mgombea wa Urais wa CCM. Huu ni uhuni na dharau kubwa kwa wapiga kura.
NB. Kama tutashindwa kuuzuia uchaguzi wa kihuni, basi tusishiriki kabisa kwenye kitendo cha kuikanyaga na kuidhalilisha katiba yetu ya nchi. Tuwaache wanaokiuka katiba ya nchi kwa kuendesha uchaguzi wa kihuni, waonekane wazi. Ni wakati sahihi waje wachukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka viapo vyao vya kulinda katiba ya nchi.
WITO MKUU:
BILA YA MABADILIKO YA KUWEZESHA MAZINGIRA YA HAKI NA HURU WAKATI WA UCHAGUZI, tusishirki kwenye uhuni wa kuisaliti katiba ya Taifa letu kwa kushiriki uchaguzi usioheshimu msingi wa katiba.
Hoja hii siyo kwaajili ya ninyi machawa. Ni hoja kwaajili ya wenye akili. Na wenye akili watakubali au kupinga kwa hoja. Wewe na machawa wenzako haiwahusu. Hoja inahitaji wenye akili, chawa tangu lini akawa na akili?acha upotoshaji gentleman,
no reform no elections ni ulofa wa kifikra 🐒
No Reforms, No Elections.Katiba yetu ya nchi inatamka wazi kabisa kuwa mamlaka yote ya utawala yatatoka kwa wananchi kupitia uchaguzi ulio wa haki. Hivyo kitendo chochote cha kuzuia uhuni wa kupokonya mamlaka ya wananchi ya kuamua nani awaongoze, ni ukiukaji wa msingi wa katiba yetu. Wananchi tusikubali kuwa sehemu ya kukiuka katiba ya nchi.
Kama wewe ni mwananchi mzalendo wa kweli, unayeipenda nchi yako na wananchi wenzako, usikubali kushiriki kwenye tendo lolote lililo kinyume na katiba ya nchi.
Maadamu watanzania tuna uhakika wa asilimia 100 kuwa mfumo wetu wa uchaguzi siyo wa haki, hatustahili kamwe kushiriki kwenye uchaguzi shetani unaokiuka misingi ya katiba, kwani tunajua kabisa kuwa ili kuwe na uchaguzi wa haki, ni lazima:
1. Tuwe na tume huru ya uchaguzi - kwa sasa hatuna tume huru ya uchaguzi, kwani iliyopo imewekwa na mgombea wa CCM. Kwa hiyo ni tume ya uchaguzi ya CCM. Hii haina haki yoyote ya kusimamia uchaguzi, labda ikasimamie uchaguzi wa CCM.
2. Tuwe na kanuni zinazosimamia haki, uhuru, uwazi na usawa wakati wa uchaguzi - kwa sasa tuna kanuni za hovyo kabisa za uchaguzi zinazoondoa haki, uhuru na uwazi wakati wa uchaguzi. Zinazuia mawakala kupewa nakala ya matokeo, zinazuia mawakala kupiga picha, zinazuia uhesabuji wa kura kwa njia ya wazi, zinazuia wananchi kushuhudia zoezi la kuhesabu kura, kama inavyofanyika kwa mataifa mengi.
3. Tuwe na mfumo unaozuia vyombo vya dola kama polisi, kwa namna yoyote kuingilia mchakato wa uchaguzi - kanuni zetu ni za hovyo kabisa kwani zimewaweka polisi mbele kwenye zoezi zima la uchaguzi na kuwafanya kuwa waamuzi wa hatua mbalimbali wakati wa uchaguzi, ikiwemo kuwaondoa kwa nguvu mawakala wa vyama vya upinzani, kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani, kupiga watu, kuwakamata watu na kuwabambikia kesi za ajabu, kama vile kesi za mauaji wakati wa uchaguzi.
4. Tuwe na mfumo unaotaka kuwa na wasimamizi huru - kwa sasa, kwa sasa wasimamizi wote wa uchaguzi ni wateule wa mgombea wa Urais wa CCM. Huu ni uhuni na dharau kubwa kwa wapiga kura.
NB. Kama tutashindwa kuuzuia uchaguzi wa kihuni, basi tusishiriki kabisa kwenye kitendo cha kuikanyaga na kuidhalilisha katiba yetu ya nchi. Tuwaache wanaokiuka katiba ya nchi kwa kuendesha uchaguzi wa kihuni, waonekane wazi. Ni wakati sahihi waje wachukuliwe hatua stahiki kwa kukiuka viapo vyao vya kulinda katiba ya nchi.
WITO MKUU:
BILA YA MABADILIKO YA KUWEZESHA MAZINGIRA YA HAKI NA HURU WAKATI WA UCHAGUZI, tusishirki kwenye uhuni wa kuisaliti katiba ya Taifa letu kwa kushiriki uchaguzi usioheshimu msingi wa katiba.
No Reforms, No Elections.
mwenye akili hawezi kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa kama hao wa cdm gentlemanHoja hii siyo kwaajili ya ninyi machawa. Ni hoja kwaajili ya wenye akili. Na wenye akili watakubali au kupinga kwa hoja. Wewe na machawa wenzako haiwahusu. Hoja inahitaji wenye akili, chawa tangu lini akawa na akili?
mwenye akili hawezi kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa kama hao wa cdm gentleman
relax gentleman,Mafala mmejaa CCM. Sijawahi kumshuhudia fala hata wa kufikia kiwango cha asilimia 10 ya ufala wako.
Mafala, wauaji na watekaji, waongo na watu waliojaa hadaa, na wachawi washirikina, wote mmejaa CCM. Ndiyo mana matendo yote ya kishetani yanafanywa na CCM.