Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kiukweli hawa jamaa bila mbeleko ya dola hawachomoi, Yaani wananchi wamewachoka kabisa!📌🔨✌🏿Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Ile Kampeni Tukufu ya Chadema imeingia Sengerema, na bila kupoteza muda ikatua Jimbo la Buchosa, Ambako kazi kubwa ya Mbunge wake anayeitwa Shigongo ni kuhudhuria Misiba na kusaidia wananchi wake vifaa vya kuchimbia Makaburi kama machepeo na sululu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kazi nyingine kubwa ya Mbunge huyo ni kuitisha mikutano ya hadhara ya kuwapiga porojo Wananchi huku akidanganya kama vile ana mipango yoyote, Ila amesifiwa kwa kugawa Takrima ya soda na ubwabwa kwa viongozi wa ccm wa Jimbo hilo ili kuungwa Mkono.
Hili hapa ni balaa lililomsambaratisha na hapa ni Nyehunge
View attachment 3331170View attachment 3331171View attachment 3331175View attachment 3331176
Kiukweli hawa jamaa bila mbeleko ya dola hawachomoi, Yaani wananchi wamewachoka kabisa!
Uhuru kamili unakujaKiukweli hawa jamaa bila mbeleko ya dola hawachomoi, Yaani wananchi wamewachoka kabisa!📌🔨✌🏿
NdioKiukweli hawa jamaa bila mbeleko ya dola hawachomoi, Yaani wananchi wamewachoka kabisa!📌🔨✌🏿
Hilo ni dhahiri!Uhuru kamili unakuja
Ccm ishajifia siku nyingiKiukweli hawa jamaa bila mbeleko ya dola hawachomoi, Yaani wananchi wamewachoka kabisa!
Laiti mngeshiriki uchaguzi mngeleta changamoto, hii ya kuzunguka kuhubiri NRNE, siku ya uchaguzi mtashangaa jinsiIle Kampeni Tukufu ya Chadema imeingia Sengerema, na bila kupoteza muda ikatua Jimbo la Buchosa, Kiukweli hawa jamaa bila mbeleko ya dola hawachomoi, Yaani wananchi wamewachoka kabisa!
Huo mzoga unalindwa na mapolisi na kitengo tu.Ccm ishajifia siku nyingi
Umekua mganga wa kienyeji unapiga ramli za kuwasemea watuLaiti mngeshiriki uchaguzi mngeleta changamoto, hii ya kuzunguka kuhubiri NRNE, siku ya uchaguzi mtashangaa jinsi
hao watu, watakavyojitokeza kwa wingi kupiga kura kuichagua ...
P
Pasikali I no election , stop dreaming ! This is real opposition party ! We are toured! Can’t you see revolution through out the world? Wake up!Laiti mngeshiriki uchaguzi mngeleta changamoto, hii ya kuzunguka kuhubiri NRNE, siku ya uchaguzi mtashangaa jinsi
hao watu, watakavyojitokeza kwa wingi kupiga kura kuichagua ...
P
Mimi nawajaluaUmekua mganga wa kienyeji unapiga ramli za kuwasemea watu
Akili nyingi huondoka maarifa na maarifa yakiondoka unakuwa ni ujinga.Laiti mngeshiriki uchaguzi mngeleta changamoto, hii ya kuzunguka kuhubiri NRNE, siku ya uchaguzi mtashangaa jinsi
hao watu, watakavyojitokeza kwa wingi kupiga kura kuichagua ...
P
Ukweli kwamba watajitokeza huna, ila watu wawili watatu watakaojitokeza wataruhusiwa kutumbukiza kura 200 kila mmoja, hili unalijua , hakuna uchaguzi bila Chadema Nchi hiiLaiti mngeshiriki uchaguzi mngeleta changamoto, hii ya kuzunguka kuhubiri NRNE, siku ya uchaguzi mtashangaa jinsi
hao watu, watakavyojitokeza kwa wingi kupiga kura kuichagua ...
P
Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko pambaSIJUI KICHWANI MNA NINI?
KWA HIYO HAPO CCM TUISAHAU AU TUTAKUJA NA USENGE KWAMBA POLIS WAMESAIDIA?