No situation is permanent in life

Hongera sana mkuu, kumbe watu tunatoka mbali sana aiseee.

Ila tukifika town huwa tunabadilika na kuwaona wanaotoka vijijini ni washamba na pengine wanatuchafulia sofa zetu majumbani.

Hii inakukumbusha uishi kwa upendo na heshma kwa yeyote anaekuzunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…