No sms, call after 2weeks.


may be! Ila cjawah mpigie simu akawa hayuko comfortable kuongea. All the time nikimpigia she took friendly hakuna kujibana kujibu cjui i lv u 2, na mbwembwe nyengine....
 
kama u love her, and u have dreams with her ata kama mwaka mzima ni Mimi tu napiga simu it's oky with me, eti unakaa kimya unampima,,,, nyie ndo mnaomba mungu then mnataka mjibiwe in two days, msipojibiwa mnasema mungu hayupo.....!!!
 
Chunga sana, anajaribu kujifunza maisha ya kutokuwa na ww jiran akifanikiwa kinachofuata ni kibuti, imeshamtokea jamaa yangu alipigwa kibut kwa staili hyo.
 
ndugu yangu tuulize wezi tutakuambia.siku hizi tunaruhusu hivi videmu viwapigie vibwana vyao comfortably na siye tukiwepo na wala hatumaind coz tunajua hapo tunapita tu....mi mtazamo wangu hapo kuna kitu kinaendelea behind the curtain....anyway just my opinion
 
Mapenzi mawasiliano na mawasiliano yanafanya mahusiano kuboreka zaidi.ukiona mawasiliano yamepungua ujue kuna tatizo. Maana hata kama mtu yuko mbali kiasi gani kama timbaktu au wapi sijui greenland/iceland kama anakupenda kweli atafanya jitihada zote muwe mnawasiliana angalau mara mbili kwa wiki sasa sembuse huyu aliyeko hapo hapo tz? Eshaky ongea naye tena na tena.
 

1. Kwanza umesema kwamba yuko chuo, pengine masomo tight sana kwahyo anatumia muda mwingi kujisomea..

2. Sioni sababu ya wewe kulalamika ikiwa ukimpigia mnawasiliana vizuri na hakuna migogoro kati yenu..

3. Kwakuwa wote mpo chuo ni bora mngetenga muda either siku za weekend masaa kadhaa ya ku chit-chat na mpenzio instead of kila siku(mtakuwa mnasoma saangapi sasa?).
 
mapenzi ya mbali ni magumu
huyo atakuwa amepata ,mbadala wako
 

...Nakubaliana nawe kabisa JS. Hapa kuna kitu hakijakaa sawa.
 
km cjakupata fresh mkuu, yuko chuo Mbeya mkuu... By da way kwel m n mr. Nice guy, na 2nafahamia snc O Level, co kwmb najuana naye snce jana au juz, we started from u best frnd, then 2kafika hapa. So wats your point mwana

Kama chuo chenyewe ni MIST,TIA andika umeumia mkuu
 
mtumie vocha......

Ila mmmh wiki mbili hataa hashtuki? Mkuu chunguza, usikute kuna mjanja anakusaidia
 
Za kuambiwa,changanya na zako.
 
Sasa kama ukimpigia mnaongea fresh unalalamika nini?Maana mpaka wiki ipite hamjaongea ina maana ya kwamba mmechuniana na sio yeye pekee amekuchunia.
sasa na wewe kwa nini umenichunia?
 
Pole sana never trust a student college girl. Tena wa chuo
 
Also you are not in her mind as it used to be.
A woman would chit chat with you all the time kama anakuwaza na kukufikiria muda mwingi.
Labda masomo yamemtinga.

Ila usi rule out msemo huu: fimbo ya mbali haiui nyoka

nachanganya na zangu hapa.... Mwee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…