mtumie vocha......
Ila mmmh wiki mbili hataa hashtuki? Mkuu chunguza, usikute kuna mjanja anakusaidia
Mapenzi mawasiliano na mawasiliano yanafanya mahusiano kuboreka zaidi.ukiona mawasiliano yamepungua ujue kuna tatizo. Maana hata kama mtu yuko mbali kiasi gani kama timbaktu au wapi sijui greenland/iceland kama anakupenda kweli atafanya jitihada zote muwe mnawasiliana angalau mara mbili kwa wiki sasa sembuse huyu aliyeko hapo hapo tz? Eshaky ongea naye tena na tena.
kama u love her, and u have dreams with her ata kama mwaka mzima ni Mimi tu napiga simu it's oky with me, eti unakaa kimya unampima,,,, nyie ndo mnaomba mungu then mnataka mjibiwe in two days, msipojibiwa mnasema mungu hayupo.....!!!
man nishatalk naye sana, akaniambia kiukwel ni mvivu katika kuchat hvyo tc better tuwe tunaongea tu, nikasema poa. After a week mwendo ule ule, mi nachoamin hata km m2 huna vocha si unaweza mflash m2. Its a sign ya kumnotify m2, ila hamna. Naweza nikamtumia vocha bas akancol kwa mda ule tunatok fresh and then mwendo ule ule. But hajawah nikatia cmu, au kutofautiana kwa namna yeyote ile, she is decent mpaka raha.
Sa km angekuwa na bwana mwengine c ningekuwa regreted kiaina ila hamna k2 km hcho.
jipe moyo tu,huijui vzr psychology ya wasichana wewe.
Friends, nina GF tuna muda mrefu katika mahusiano. Mwanzon alikuwa anapenda sana charting na midnight calls nyingii.. Ila baadae akabadilika katika matumiz ya cmu, kuchat kukapungua, kupigiana simu na ni baada kwenda chuo, ila hakukua na mabadiliko yoyote katka uhusiano 2na meet fresh, hamna tatzo lolote mf. Kugombana. Nikamweleza kuhusiana na mabadiliko haya akanitel Ye mwenyewe nowdayz amejigundua c mtumiaj mzur wa simu so inatokea kusahau v2 km kuchat na kucall. Nikamsisitiza ajitahid abadilike cz napenda sana kuchit-chat ,tukakubaliana atajitahid , ila tatizo mpaka sasa kama karibu mwaka , mwenzang haonesh mwamko katk mawacliana though 2po mbal ye yko chuo nam niko chuo mkoa mkoja mwengine. Tunakutana dar pindi cha likizo. Tatizo Inaweza ikakata hata wik na nusu no sms no kubeep ,ukipiga 2natok fresh, nikilalama ye n kusema sorry na kuadmit kwmb anashindwa kujicontrol. Nimejitahid kucopy tabia yke kuwa nisiwe addicted katka kuwasiliana na shindwa, lakin katika mahusiano ni muelewa, na hatujawah kutofautiana. Je ni tatizo la kawaida nikimanisha Tabia ya mtu? Ama.......
Msaada wa mawazo wakuu.
Hata kama kusoma hujui na picha nayo inakushinda jaman? Soma alama za nyakati bana.....,mahusiano ya siku hizi ukiona picha haisomeki vizuri anza kujipanga upya. haiwezekani kwa mtu mnaependana eti ipite wiki moja hadi week mbili hamna contact.....for me big NO. Hamna haja ya kupasuana vichwa kumbuka kuna life beyond hii ya leo na huyu anaekupasua kichwa,
kaaz kweli kweli,, napita tuuu......
gal anakupenda ila mi nadhani ameanza kuchoka na same same things u do to her for all that time, posibly anataka u move to another step, she needs somethn exciting from u, especially mko away frm each other. Long distance relationship ni ngumu lakini kama mkiwa determined ina work!
...me nlimpa wangu ki-teke kwa style hiyo..enz izo,afta kupata mkubwa wakunilea..watoto mna pupy-love..zinaBOAA..!
Mkuu wezi wanastyle,hata kuwalilia kwa cmu wanaturuhusu,tena na maujanja wanatupa..
Ukiona miguu..tafuta kchwa baba..
Hare baba!
man nishatalk naye sana, akaniambia kiukwel ni mvivu katika kuchat hvyo tc better tuwe tunaongea tu, nikasema poa. After a week mwendo ule ule, mi nachoamin hata km m2 huna vocha si unaweza mflash m2. Its a sign ya kumnotify m2, ila hamna. Naweza nikamtumia vocha bas akancol kwa mda ule tunatok fresh and then mwendo ule ule. But hajawah nikatia cmu, au kutofautiana kwa namna yeyote ile, she is decent mpaka raha.
Sa km angekuwa na bwana mwengine c ningekuwa regreted kiaina ila hamna k2 km hcho.
gal anakupenda ila mi nadhani ameanza kuchoka na same same things u do to her for all that time, posibly anataka u move to another step, she needs somethn exciting from u, especially mko away frm each other. Long distance relationship ni ngumu lakini kama mkiwa determined ina work!
Huyo amekua kiakili anaona haumfai na ameweza kutana na watu wengi wa mikoa tofauti so akili inafanya kazi kivingine
lazima atakuwa na male friends etc labda anaona wanakitu ambacho hauna
ni part ya maisha sasa wewe endelea na masomo jichanganye na watu huko usije miss mkeo eti unasubiri wa mbali then
acha kumtafuta na wewe uje uone kama atalalamika.
Duh kwa mie sipendi wanaume wanaobembeleza mapenzi napenda wagumuuuuu haswa sasa wewe umezidi punguza labda nae unamboa na ujue anaweza asiwe mkeo one day atakuambia move on brother
Saa zingine decency ain't sh*t (sorry to use this word). Na kuna wasichana akiwa na bwana mwingine si rahisi ukajua maana they know how to play it right not messing around mpaka the other end ajue. tena wa chuo (sio wote) ndo wanafahamu sana kuficha maovu.
By the looks of things inaonekana bado unampenda sana na uko mwaminifu kwake. Tusiongelee upande wake maana hatujui what's happening but on your side things are good. As i said earlier, communication is a critical element in any relationship. Hivyo onyesha umuhimu wa nyie kuwasilliana in a way kwamba kama anaona hawezi kubadilika na kurudi kule mwanzoni basi you guys move further ahead kama kila mtu achukue hamsini zake maisha yasonge. Na aseme nini kimesababisha hayo mabadiliko ili kama ni kusaidiana ujue. na kama hakutaki tena aseme. na kama kapata mtu mwingine aseme vilevile. its all about communicating other than assuming stuff.