Mbona unamrusha roho mwenzio Dr?ndugu
yangu tuulize wezi tutakuambia.siku hizi tunaruhusu hivi videmu
viwapigie vibwana vyao comfortably na siye tukiwepo na wala hatumaind
coz tunajua hapo tunapita tu....mi mtazamo wangu hapo kuna kitu
kinaendelea behind the curtain....anyway just my opinion
Stuka!
Umeona eeh...kuna memba mmoja nadhani signature yake ina hili neno KIng....mambo vp lakini?
Ndugu hatuchekani we wiki mbili? mwenzio mwezi sasa huyoooo nimesepa kimya kimya Lol nimetafta Super sub we endelea kusubiri utaachiwa manyoya na kuku kashakuponyoka.........its serious na najua ukimuuliza atakwambia ooh niko busy ooh shule ngumu hamna lolote hapo huwezi kosa muda wa sms....ina maana hatunii simu? anawasiliana na nani this time? au simu ameuza? ENDELEA KISUBIRI UONGO WAKE mwenzako yamenishinda!!!!!!!Friends, nina GF tuna muda mrefu katika mahusiano. Mwanzon alikuwa anapenda sana charting na midnight calls nyingii.. Ila baadae akabadilika katika matumiz ya cmu, kuchat kukapungua, kupigiana simu na ni baada kwenda chuo, ila hakukua na mabadiliko yoyote katka uhusiano 2na meet fresh, hamna tatzo lolote mf. Kugombana. Nikamweleza kuhusiana na mabadiliko haya akanitel Ye mwenyewe nowdayz amejigundua c mtumiaj mzur wa simu so inatokea kusahau v2 km kuchat na kucall. Nikamsisitiza ajitahid abadilike cz napenda sana kuchit-chat ,tukakubaliana atajitahid , ila tatizo mpaka sasa kama karibu mwaka , mwenzang haonesh mwamko katk mawacliana though 2po mbal ye yko chuo nam niko chuo mkoa mkoja mwengine. Tunakutana dar pindi cha likizo. Tatizo Inaweza ikakata hata wik na nusu no sms no kubeep ,ukipiga 2natok fresh, nikilalama ye n kusema sorry na kuadmit kwmb anashindwa kujicontrol. Nimejitahid kucopy tabia yke kuwa nisiwe addicted katka kuwasiliana na shindwa, lakin katika mahusiano ni muelewa, na hatujawah kutofautiana. Je ni tatizo la kawaida nikimanisha Tabia ya mtu? Ama.......
Msaada wa mawazo wakuu.
Friends, nina GF tuna muda mrefu katika mahusiano. Mwanzon alikuwa anapenda sana charting na midnight calls nyingii.. Ila baadae akabadilika katika matumiz ya cmu, kuchat kukapungua, kupigiana simu na ni baada kwenda chuo, ila hakukua na mabadiliko yoyote katka uhusiano 2na meet fresh, hamna tatzo lolote mf. Kugombana. Nikamweleza kuhusiana na mabadiliko haya akanitel Ye mwenyewe nowdayz amejigundua c mtumiaj mzur wa simu so inatokea kusahau v2 km kuchat na kucall. Nikamsisitiza ajitahid abadilike cz napenda sana kuchit-chat ,tukakubaliana atajitahid , ila tatizo mpaka sasa kama karibu mwaka , mwenzang haonesh mwamko katk mawacliana though 2po mbal ye yko chuo nam niko chuo mkoa mkoja mwengine. Tunakutana dar pindi cha likizo. Tatizo Inaweza ikakata hata wik na nusu no sms no kubeep ,ukipiga 2natok fresh, nikilalama ye n kusema sorry na kuadmit kwmb anashindwa kujicontrol. Nimejitahid kucopy tabia yke kuwa nisiwe addicted katka kuwasiliana na shindwa, lakin katika mahusiano ni muelewa, na hatujawah kutofautiana. Je ni tatizo la kawaida nikimanisha Tabia ya mtu? Ama.......
Msaada wa mawazo wakuu.
Mwanzo wa mapenzi watu hutamani waende hata polini wakaishi peke yao ndo maana hata calls huwa ni za fujo sana! Ila mkishazoeana tu na calls zinapungua!!
senetor! Cjaoza kihivyo tatizo, katika sample nilizonazo hii ni thd best one, kuipoteza kizembe HAINAGA. Cjaona Green Light. Ebu nipe busara zako..
Mzee wa Bachelor degree in Demostration & riots (jokes)
Wanawake ndio hupenda sana hayo mambo ya kuchatichati na kupigiana pigiana simu, sasa kama kwako ni tofauti ukae mguu sawa labda ameshapata wale brothers in christ saa zote wanazunguka pamoja (wabaya sana hawa) au wale wanajiita group discussion members ( na wenyewe ni lethal lol) :lol:
friends, nina gf tuna muda mrefu katika mahusiano. Mwanzon alikuwa anapenda sana charting na midnight calls nyingii.. Ila baadae akabadilika katika matumiz ya cmu, kuchat kukapungua, kupigiana simu na ni baada kwenda chuo, ila hakukua na mabadiliko yoyote katka uhusiano 2na meet fresh, hamna tatzo lolote mf. Kugombana. Nikamweleza kuhusiana na mabadiliko haya akanitel ye mwenyewe nowdayz amejigundua c mtumiaj mzur wa simu so inatokea kusahau v2 km kuchat na kucall. Nikamsisitiza ajitahid abadilike cz napenda sana kuchit-chat ,tukakubaliana atajitahid , ila tatizo mpaka sasa kama karibu mwaka , mwenzang haonesh mwamko katk mawacliana though 2po mbal ye yko chuo nam niko chuo mkoa mkoja mwengine. Tunakutana dar pindi cha likizo. Tatizo inaweza ikakata hata wik na nusu no sms no kubeep ,ukipiga 2natok fresh, nikilalama ye n kusema sorry na kuadmit kwmb anashindwa kujicontrol. Nimejitahid kucopy tabia yke kuwa nisiwe addicted katka kuwasiliana na shindwa, lakin katika mahusiano ni muelewa, na hatujawah kutofautiana. Je ni tatizo la kawaida nikimanisha tabia ya mtu? Ama.......
Msaada wa mawazo wakuu.
wanaume huwa hatlalamiki bana.........tafakari chukua hatua.