Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Utaachaje kutumia pesa?
Labda uwe unakaa kwa shemeji.
Ila kwa mpambanaji lazima utumie hela, usafiri, chakula nk
Utaachaje kutumia pesa?
Labda uwe unakaa kwa shemeji.
Ila kwa mpambanaji lazima utumie hela, usafiri, chakula nk
Peleka Facebook.Wakuu kutokana na hali kuto kua hali hili shindano la kutumia hela kidogo
Namaanisha hakutumia pesa kidogo as much as possible
View attachment 2876591
Haya twende kazi[emoji3][emoji3]
Hii nzuri snLeo natarajia Kutumia sh.0 tu
Msosi
mboga nimechinja kuku nilikua nafuga
Mboga majani Nitachuma nje nina kabustan
Ugali unga upo
Kifupi leo situmii hata senti
Peleka Facebook.
Hii nzuri sn
This man [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]