Nishawahi kupata mmoja alikuwa bosi wangu, divorced, independent, financially stable. She called whenever she wanted it (I'm serious about her wanting 'it', not wanting 'me'). Siku nyingine alikuwa ananiita kwake odd hours of the night, nachukua taxi nakwenda, asubuhi narudi ghetto kwangu. Sikuwahi kunywa hata juice pale kwake, na hatukuwahi kwenda outing yoyote, nikaelewa mwenzangu shida yake ni naniliu tu, hataki 'strings attached'. Siku nilipoelewa tofauti ni pale aliponiambia nibaki naye ofisini jioni ana issue, nikadhani mwenzangu leo anataka kujaribu fantasy fulani ofisini kwake na mimi, nikaona itakuwa poa. Kumbe alichoniitia ni kuninanga mara 'unaendekeza mashangingi, hawatakusaidia kitu, blah blah blah' Nikamwuliza vipi mbona sikusomi? Akadai amesikia natoka na bosi mwenzie mwingine sijui nini nini (of course ni uongo sijui aliuokota wapi), lakini nikamshangaa imekuwaje tena si ulisema mwenyewe kuwa iwe 'no strings attached, sasa hii ndo nini? Ni ngumu hii kitu mazee!