No Tuachie Timu Yetu

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
11,786
Reaction score
18,562
Simba ni kampuni hatujashindwa kujiendesha, ni muda muhafaka kwa wewe kukaa kando tukajiendesha wenyewe maana uwezo huo tunao.
 
MO hawezi atasiku moja aka i transform Simba iji tegemeee, kujitegemea kwa Simba maana yake itakua huru kutoka katika makucha ya beberu MO.
Vile vile Hakuna kiongozi wa upande wa klabu ambaye atakua against Mudi. Kwaiyo Mudi ndiye kiongozi wa mabadiliko na hawezi kumwaniri CEO ambaye anataka kuibadili Simba ki uhalisia .
Mudi anataka siku zote Simba imtegemee yeye ndio maana hawezi kuweka 20 b kwakua anaweza akaweka alafu wenye akili Waka i transform timu kiuhalisia.

Siku Simba ikifanikiwa kuto mtegemea Mudi ndio siku thamani ya Mudi inakufa. Ayo Mambo ata mjomba wake MO Azim dewj alisha wahi yafanya sana, ilifikia mbaka kuuza mechi ya fainali ya Caf dhidi ya Stella Abidjan pale Taifa. uu ni mwendelezo wa Mambo ya kihuni kwenye Soka la bongo.
 
Yaaani yanayochangazwa ni haya_ wewe wa kuitetea brand ya simba. Utopolo yenu kule mmemwachia GSM wala hamhoji.
Acha dawa iwaingie, MO ndiye aliyemleta Senzo Utopolo mkamtamani na ndiye aliyemleta Barbar subirini dawa iwaingie vizuri
 
Simba ni kampuni hatujashindwa kujiendesha, ni muda muhafaka kwa wewe kukaa kando tukajiendesha wenyewe maana uwezo huo tunao.
Chukua zile 51% utakuwa umemshinda..

Kama kula yako yashida hamia utopolo huku hatukopeshi chakula
 
Tanzania kuna watu wa ajabu Sana Kama mnataka wachezaji wale mihogo siku ya mechi mfukuzeni mo
 
Simba ni kampuni hatujashindwa kujiendesha, ni muda muhafaka kwa wewe kukaa kando tukajiendesha wenyewe maana uwezo huo tunao.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli mafanikio bongo ni ngumu sn kuyafanikisha hasahasa ikiwa ni ubia. Tunasafari ndefu sana.
 
Nilichokiona watanzania wengi wana wivu na maendeleo ya kitu wasione kitu kinaendea basi kuanzia wanasiasa mpka wale vifafa ambao kula yao huwa shida hujifanya wanajua sana ila likitokea la kutokea kila mmoja hukimbia
 
uachiwe timu kupitia post uchwara hata kuandika vizuri huwezi?
Mkuu tuungane pamoja kuitetea klabu yetu, huu ndio muda muafaka kwa wana simba kuwa kitu kimoja kutetea maslahi ya klabu yetu pendwa, Mo Dewji anaifanya simba kama mojawapo ya makampuni yake kwa interest anazozijua yeye mwenyewe

#FreeSimba Sc.
 
Tunakushukuru Mkuu, Kuna ukweli fulani kuhusu Wawekezaji wa mpira wa Kibongo kwa uliyoandika.
 
Mkuu tuungane pamoja kuitetea klabu yetu, huu ndio muda muafaka kwa wana simba kuwa kitu kimoja kutetea maslahi ya klabu yetu pendwa, Mo Dewji anaifanya simba kama mojawapo ya makampuni yake kwa interest anazozijua yeye mwenyewe

#FreeSimba Sc.
huwezi kuungana na mimi kwenye ujinga kama huo. niko pamoja na Mo Dewji. anafanya kazi nzuri na timu inakuwa watu wanaburudika. Tuambie unachangia nini kupitia share. usikute hata jezi huna. acha wivu fanya wa kike fanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…