No woman no cry huu msemo una ukweli?

Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana hii terminology, hivi ni kweli bila wanawake tungekuwa kweli hatutoi machozi.[emoji24] [emoji24] [emoji24]
mimi nilifikiri ana maanisha "no war man no cry?" kumbe ni woman?
 
Kama huo msemo umetoka kwenye Nyimbo ya Nesta Marley basi maana yake sio hiyo unayoifikiria,maana yake ni kua Mwanamke asilie.Sikiliza ngoma vizuri utaelewa kuwa ni nyimbo ya women empowerment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…