No work permit nowadays?

No work permit nowadays?

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Tanzania tuna ajira chache Sana zilizobaki Mana serikali haijaajiri mda mrefu Sasa kinachonisikitisa na hawa waganda na wakenya wanafundisha mashule hapa tz na wamekuja kwa wingi Sana hawana hata working permit.

Wamiliki wa shule za private wameamua kuajiri hao kwa sababu ya kingereza tu. Sasa hivi graduates wapo mtaani tu hawajui hatma yao baada ya ajira za mitanzania kuchukuliwa na hao.

Au hii ndo maana ya kuifungua nchi maana yake ajira zote zibebwe na foreigners.


Plz waziri wa tamisemi na elimu tembeleeni mashule hasa ya English medium msikae ofisini tu mnaua watu.
 
Mimi ni Mtanzania nimewahi kufanya kazi Kenya bila permit: Sisi Tanzania ndo tumechelewa kuwaruhusu wakenya kufanya kazi kwetu bila permit
 
watu wengi wanafanya uhuni uhuni hawapitii huko, unakuta nurse analipwa laki tano lkn work permit kulipia ni karibu 3M kwa mwaka. ukitoa kwa hiyo salary + kodi ya nyumba inayobaki ni hatari tupu.
 
Back
Top Bottom