Tanzania tuna ajira chache Sana zilizobaki Mana serikali haijaajiri mda mrefu Sasa kinachonisikitisa na hawa waganda na wakenya wanafundisha mashule hapa tz na wamekuja kwa wingi Sana hawana hata working permit.
Wamiliki wa shule za private wameamua kuajiri hao kwa sababu ya kingereza tu. Sasa hivi graduates wapo mtaani tu hawajui hatma yao baada ya ajira za mitanzania kuchukuliwa na hao.
Au hii ndo maana ya kuifungua nchi maana yake ajira zote zibebwe na foreigners.
Plz waziri wa tamisemi na elimu tembeleeni mashule hasa ya English medium msikae ofisini tu mnaua watu.