M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 518 Reaction score 451 Jun 22, 2011 #1 ndugu zangu kwa mwenye taarifa anaweza kutujuza kama hawa jamaa wa national audit office wameshaanza kuita watu au bado tusubilie naomba kuwasilisha
ndugu zangu kwa mwenye taarifa anaweza kutujuza kama hawa jamaa wa national audit office wameshaanza kuita watu au bado tusubilie naomba kuwasilisha
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 22, 2011 #2 Ni NAO mkuu,nafikiri bado.Kwa kawaida watakuja kushortlist na kuwasiliana na wataopenya.
Charles Mtekateka JF-Expert Member Joined Feb 13, 2009 Posts 317 Reaction score 89 Jun 22, 2011 #3 Nadhan wamemaliza kushort list subili cku c nying watatoa majina ya walioshortlisted... angalia magazeti ya serikali na hasa dailynews ya next week
Nadhan wamemaliza kushort list subili cku c nying watatoa majina ya walioshortlisted... angalia magazeti ya serikali na hasa dailynews ya next week
semango JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 532 Reaction score 45 Jun 23, 2011 #4 NAO hawahusiki katika zoezi la kuajiri, wanaohusika ni sekretarieti ya ajira ktk utumishi wa umma
G Gerald David Member Joined Nov 2, 2010 Posts 10 Reaction score 0 Jun 23, 2011 #5 Tembelea President's Office - Public Service Management huwa wanupdate pale kuhusu hzo post!
M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 518 Reaction score 451 Jun 26, 2011 Thread starter #6 nashukuru sana ndugu zangu kwa michango yenu
amaketa Member Joined Sep 22, 2009 Posts 5 Reaction score 0 Jun 26, 2011 #7 Jamani mtujulisha as soon as you get information za shortlisted candidates!