Car4Sale NOAH inauzwa, Ipo katika hali nzuri sana

Car4Sale NOAH inauzwa, Ipo katika hali nzuri sana

cecil dom

Member
Joined
May 4, 2017
Posts
47
Reaction score
11
Noah inauzwa ipo katika hali nzuri ,haijawah kupata ajali na haina tatzo lolote lile.imetumikaa zaidi katika matumizi binafsi kuendea kazin shughuri zingne za familiaa

Inauzwa kwa sababu ya matatizo ya familiaaa kukabiliana na kukosa pesa

Gari ipo mbeya,njoo na fundi wako uikague na uweze kuondoka nayo

Kwa mawasililiano na whatsapp nitafute kwa namba 0692477837 ,

Gari ipo maeneo ya iyunga mbeya

BEI NI 8.5 MILION MAONGEZI YAPO
IMG-20170812-WA0033.jpg
IMG-20170812-WA0032.jpg
IMG-20170812-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom