Noah inauzwa ipo katika hali nzuri ,haijawah kupata ajali na haina tatzo lolote lile.imetumikaa zaidi katika matumizi binafsi kuendea kazin shughuri zingne za familiaa
Inauzwa kwa sababu ya matatizo ya familiaaa kukabiliana na kukosa pesa
Gari ipo mbeya,njoo na fundi wako uikague na uweze kuondoka nayo
Kwa mawasililiano na whatsapp nitafute kwa namba 0692477837 ,