Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
We jamaa hiyo kwenye post sio Toyota Noah ni Nissan Serena acha uboyaNakusogeze gari hii kwa bei poa sana
Noah namba D kwa 5.5 million bila udalali
Gari ina Kadi yake
Low mileage
Njoo magomeni Dar uikague
Nipigie 0744033555
View attachment 1695543View attachment 1695544View attachment 1695546View attachment 1695547View attachment 1695548
Ndugu sim card,We jamaa hiyo kwenye post sio Toyota Noah ni Nissan Serena acha uboya
Ndugu sim card,
Umeona kosa sawa lakini huna kibali cha matusi.
Otherwise utakuwa popoma tu hujitambui.
Nitakutupa chooni kama nilivyofanya kwa sim card ya Tigo
Asante saba kwa mchanganuo mzuriIpo 3.5 net haina mazunguzo
Hii bei inaondoa
rims + tyre - 900,000/=
Seat covers - 300,000/=
Usafi hiyo gari ing'ae kabisa ni -100,000/=
Kurekebisha dashboard- 50,000/=
Tuje huko chini tuweke - 300,000/=
Bima - 180,000/=
Uchakavu ni - 2,500,000/=
TRA kubadilisha umiliki - improbably- 150,000/=
PichaAsante saba kwa mchanganuo mzuri
Ninayo Gx 100 ina tairi mpya
Ac inafanya kazi
Mziki mnene ndani
Haigongi
Nakuachia kwa 3.8 mil
Check 0744033555
Picha