Noah old model vs Probox min van ipi gari nzuri yakununua

Josh Ramadhan

Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
60
Reaction score
10
Jaman naomben msaada wakujua tofaut na uwezo wa hzo gar hapo juu msaada jaman
 
Zote no gari ambazo ni multipurpose iwe shamba au mambo ya kifamilia au kwenye kiti kirefu au kusambaza mzigo zinafaa tu, na zote zina space ya kutosha japo noah imezidi kidogo na pia iko juu kidogo kwa maana ya ground clearance so kama unatumia kwenye lami tu na huitaji space basi noah si lazima ila kama shuguri zako zina husisha barabara za vumbi basi nashauri noah. Pia zote ni gari ambazo zimemlega muhangaikaji Mwenye kipato cha kawaida tu na spare zake zinapatikana kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…