Gari inauzwa Noah toyota voxy T 703 DDP gari limetembea kilomita 131152 lipo kwenye hali nzur sana
Gari linapatikana mwananyamala manjunju
Bei ni shilingi million 6 kamili.
Mawasiliano
0719590756
View attachment 1156721View attachment 1156723View attachment 1156724View attachment 1156726View attachment 1156727View attachment 1156728
Unajua waafrika na hasa hasa watanzania ni watu wasio waaminifu kabisa kwenye biashara. Mtu anauza gari utakuta lina kero fulani lakini anaamua kuficha (Nieleweka sijui chochte kuhusu gari linalouzwa kwenye thread hii ila nasema kutokana na uzoefu tu). Kwa nini tusiwe wakeli ili mnunuaji ajue ananunua kitu chenye tatizo X na atakishughulikia kw njia Y?Kila la kheri mkuu maana haya magari yakishaanza kuchemka ndio uuzaji huu wa hasara,maana mimi voxy yangu ilifikia muda uko ndani ya gari utafikiri upo kwenye mashine ya kutotoleshea vifaranga nikaitupa kwa mil. 5 tu
99% autoNi auto au manual
Usimlaumu si kila mtu ana ufahamu wa kutosha kwenye magariAcha ujinga, gari imepigwa picha ndani kwenye gear hapo alafu unauliza auto au manual, ina maana huoni hapo??