Noah ya kupeleka hesabu kwa wiki inahitajika

Noah ya kupeleka hesabu kwa wiki inahitajika

Joined
Aug 11, 2020
Posts
23
Reaction score
15
Waungwana habari za majukumu.

Naitwa Saidi natokea maeneo ya pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani mkoa wa Da es Salaam.

Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari aina ya Noah naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi huku wilaya ya Kisarawe.

Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu nimategemeo yangu atakuja mtu seriuos ili tuweze kufanya kazi.

0712378559
 
hebu sema hiyo noah inafanya kaz gan, wadhamin wako ni wa aina gan....unadhamana gan,? nijib kwanza, maana ninawez kukusaidia ukaipata... sis chawa wa mjin tunajua don gan kapak noa uwani, ili usinihalibie uchawa wangu, nijibu kabla ujaenda kwa mshua.
 
Dahh jamaa umeelezea vizur, lakn kwa style ya vichekesho [emoji23]
 
Habari JamiiForums

Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu.

Wadhamini ni wazazi wangu
Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
Namba: 0674074563
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar
Nipo maeno ya Temeke
 
Usijebebea nyala za Serikali kesi ikabaki kwa mmiliki.
Kubebea vitu haramu,bangi,wasomali,meno ya tembo,nyama pori,nk
 
Back
Top Bottom