Noamba kujuzwa utaratibu wa dhamana kwa Mtuhumiwa

Cavill

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
379
Reaction score
1,284
Salaam,

Kama heading inavyojieleza hapo, naomba nisaidiwe ufafanuzi Juu ya hili swala la Dhamana, Kwa mfano nikienda kumtolea Mtuhumiwa dhamana Ni lazima niende na Cash?

Na je siwezi kutumia Mali nyingine isiyo hamishika Kama Dhamana? Na vipi Kama Mtuhumiwa kesi itapelekwa mahakamani na akashinda je Gharama ilotumika Mwanzoni mwa kesi(Polisi) Kama dhamana itarejeshwa?

Naomba kuiwasilisha Wakuu
 
Nachofahamu, kesi ndogondogo wanasaini bond sio hela cash .

Endapo mtuhumiwa katoroka unalipa hiyo hela wewe uliyemdhamini unabaki huru.
 
Nachofahamu , kesi ndogo ndogo wanasaini bond sio hela cash .

Endapo mtuhumiwa katoroka unalipa hiyo hela wewe uliyemdhamini unabaki huru.

Inakuaje kwa kesi kubwa?
 
Salaam,

Kama heading inavyojieleza hapo, naomba nisaidiwe ufafanuzi Juu ya hili swala la Dhamana, Kwa mfano nikienda kumtolea Mtuhumiwa dhamana Ni lazima niende na Cash?

Na je siwezi kutumia Mali nyingine isiyo hamishika Kama Dhamana? Na vipi Kama Mtuhumiwa kesi itapelekwa mahakamani na akashinda je Gharama ilotumika Mwanzoni mwa kesi(Polisi) Kama dhamana itarejeshwa?

Naomba kuiwasilisha Wakuu
Ikiwa alituhumiwa na alishtakiwahapo awali kwa kosa la jinai ambalo lilimgharimu na ana vithibitisho vya gharama husika, anaweza kufungua kesi dhidi ya gharama husika na kalipwa. Inawezikana.
 
Back
Top Bottom