Ikiwa alituhumiwa na alishtakiwahapo awali kwa kosa la jinai ambalo lilimgharimu na ana vithibitisho vya gharama husika, anaweza kufungua kesi dhidi ya gharama husika na kalipwa. Inawezikana.Salaam,
Kama heading inavyojieleza hapo, naomba nisaidiwe ufafanuzi Juu ya hili swala la Dhamana, Kwa mfano nikienda kumtolea Mtuhumiwa dhamana Ni lazima niende na Cash?
Na je siwezi kutumia Mali nyingine isiyo hamishika Kama Dhamana? Na vipi Kama Mtuhumiwa kesi itapelekwa mahakamani na akashinda je Gharama ilotumika Mwanzoni mwa kesi(Polisi) Kama dhamana itarejeshwa?
Naomba kuiwasilisha Wakuu