Achana na huyo fundi...Jamani me natumia gari inaitwa nissan teana 230 na oil ambayo huwa natumia ni 5w40.
Sasa juzi nimeenda kuchange oil fundi anasema nakosea kutumia 5w40 bcoz ni nyepesi sana and natakiwa kutumia Sae 40 hiyo ndio inafaa.
Na niligoogle injini oil kwa Nissan teana Nikapata majibu kuwa 5w40 ndio mzuri zaidi.
Sasa wadau wenye uzoefu na haya mambo naomba ushauri
Yaani wale sio tu wanabaki na sae40 mpya Bali mbovu ambayo either wametoa kwenye gari ya mtu na inaonekana angalau nzuri or wamenunua zile international za buku tatu litre 01Nenda kanunue oil na filter mwenye kwenye duka la kuaminikaa eneo ulipo.
Fundi mpelekee na usimamie kuhakikisha anatumia oil uliyompatia.Usikubali kununua oil unayoikuta kwa fundi,huwa wanabakia na vibobo hivyo kukuwekea oil ya sae 40 ambayo ni zito na bei rahisi.
Hii Sae-40 ni janga kwny nchi hii aisee,itabidi vitafutwe vipindi huko kwny media vya kuipiga vita hii kitu maana imeharibu na itaendelea kuharibu maelfu ya magari ya watu.
Itumike tu huko kwny matrekta n.k
Alikushauri vile kwa sababu.Huyo fundi yuko pale Morocco upande wa jengo la Airtel Yan kwa ushauri ambao napata hapa mpaka sasa nawaza why alinishauri vile