Plot4Sale NOBLE REAL ESTATE, Karibu ujipatie viwanja vya makazi na biashara Dar es Salaam na Pwani

Plot4Sale NOBLE REAL ESTATE, Karibu ujipatie viwanja vya makazi na biashara Dar es Salaam na Pwani

Rangoo14

Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
50
Reaction score
116
Habari wanajamvi karibuni kwenye threat hii,
Noble Real Estate ni wauzaji wa mashamba na viwanja waliojitika hasa katika jiji la Dar es Salaam na Pwani. Viwanja vyetu vimepimwa na vinatambulika toka Wizara ya Ardhi.

Nitakua nikiwaletea miradi mbali mbali kuanzia picha, bei na maelekezo mengineyo. Kwa kuanza Ningependa niwatambulishe mradi wa Mbopo kinondo.

[emoji573]Mradi upo km 3 kutoka Bunju A, bagamoyo road(lami)

[emoji573]Eneo limepimwa na ramani kutoka wizarani ipo

[emoji573]Tsh 15,000 kwa square metre na eneo limepimwa kuanzia square metre 400 sawa na Tsh 6,000,000

[emoji573]Mradi umezungukwa na huduma zote za kijamii kama maji, umeme, barabara ,shule nk.

[emoji573]Mteja ataruhusu kuanza ujenzi au kuendeleza eneo mara pale tu atakapo maliza malipo yake kwa asilimia 100%.

[emoji573]PIA TUNAFWATILIA HATI ZA VIWANJA NA KUFANYA UPIMAJI NA UPATIKANAJI WA RAMANI ZA MAENEO MBALIMBALI KWA GHARAMA NAFUU ZA MTEJA[emoji4]

[emoji716]MALIPO YOTE YANAFANYWA KWENYE AKAUNTI YA KAMPUNI ILIYOSAJILIWA NA KUTAMBULIKA KISHERIA
[emoji3501]ALIPO YOTE YANAFANYWA KA NJIA YA BENKI NA SI VINGINEVYO

[emoji536]Pia unaweza kutembelea page yetu ya instagram @official_noble_real_estate

[emoji764]KWA ADHA YOYOTE AU MASWALI YOYOTE USISITE KUTUPIGI KUPITIA NAMBA

[emoji3513][emoji3513]0693128612

IMG_1235.jpg

IMG_1241.jpg

IMG_1242.jpg

B13140A3-379C-40CE-B0D2-57F2F511F234.jpg
 
[emoji91]KIBAHA PICHA YA NDEGE[emoji91] Maarufu kama mji mpya [emoji362]Site ni nzuri na tambalale[emoji362] -Huduma za umeme na maji hadi site -Site ipo barabara ya tarura inayoelekea -stendi ya treni ya umeme (Boko Timiza) Kwa Malipo[emoji385] -Tsh 12,000/sqm kwa cash -Tsh 15,000/sqm kwa installment
IMG_1047.jpg
 

Attachments

  • IMG_1048.jpg
    IMG_1048.jpg
    1.8 MB · Views: 10
Mkuu hizo barabara zinazoingia kwenye viwanja ni mita ngapi?
 
BCB34029-0FFC-426F-9DDE-3F1069495C67.jpg

[emoji91]GOBA NJIA NNE[emoji91]
[emoji362]Site ipo meter 300 toka barabara ya lami
[emoji362]Pia ni km6 tu toka stendi ya Magufuli

[emoji537]Huduma kama Maji (dawasco), umeme na Hospital vipo hadi site
[emoji922]Neighborhood ni nzuri na hakuna uswahili kabisa

MALIPO
[emoji385]Bei ni Tsh 40,000/sqm kwa malipo ya cash
[emoji385]Kwa malipo ya installment ni Tsh 45,000/sqm

Mawasiliano 0693128612
 
Back
Top Bottom