Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Baby, you're the best
Sikuwa natafuta mpenzi wa kuwa naye, lakini nikajikuta niko mikononi mwako.
Nilijaribu kùjificha nisimulikwe na mwangaza wa penzi lako, lakini ni kama mbingu iliyoko juu yangu, sina ujanja wa kuficha hisia zangu.
The spy who loved me anazitunza mahali salama siri za madhaifu na mapungufu yangu yote usiku wa leo, nobody loves you better.