Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kumbe nini? Mwaka 1977 ulikuwa wapi?Ahaaa…kumbe..🤛
Nilikuwa kiunoni mwa baba yangu.nafikiri 👧 wa baba alikuwa ankunywa sana P2 ya analog 🤓🤓Kumbe nini? Mwaka 1977 ulikuwa wapi?
Mwaka huo nilikuwa meneja wa reli Zanzibar, kabla sijahamishiwa mamlaka ya bandari DodomaNilikuwa kiunoni mwa baba yangu.nafikiri 👧 wa baba alikuwa ankunywa sana P2 ya analog 🤓🤓
Mjomba buji Uko na fiksi nyingi🤣🤣Mwaka huo nilikuwa meneja wa reli Zanzibar, kabla sijahamishiwa mamlaka ya bandari Dodoma
Wacha bhanaNitagharamia mashono
Sare muhimu.mjomba Bujibuji Simba Nyamaume kasema atagharamia mashonoNakuachaje kwa mfano mama, sijui tushone na kasare kabisa..??
Hebu Darlin njoo tupe wazo katoto kangu..!!
Haha...Unaruhusu niseme kitu?
Lazima mdamshi ndani ya kitaa cha kimplini, mshono mapande sitaSare muhimu.mjomba Bujibuji Simba Nyamaume kasema atagharamia mashono
Sema wapambe tupo na kura zetu za ndioooooUnaruhusu niseme kitu?
Mkuu una fix sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwaka huo nilikuwa meneja wa reli Zanzibar, kabla sijahamishiwa mamlaka ya bandari Dodoma