Spymaster au just a spy ?Baby, you're the best
Sikuwa natafuta mpenzi wa kuwa naye, lakini nikajikuta niko mikononi mwako.
Nilijaribu kùjificha nisimulikwe na mwangaza wa penzi lako, lakini ni kama mbingu iliyoko juu yangu, sina ujanja wa kuficha hisia zangu.
The spy who loved me anazitunza mahali salama siri za madhaifu na mapungufu yangu yote usiku wa leo, nobody loves you better.
Hah haaa haaaMkuu una fix sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Double Zero SevenSpymaster au just a spy ?
Kama nikizingatia context nzima ya hii thread, the said spy ni wewe and you knew it hata kabla sijaandika hapa.Haha...
Ndiyo baba..!!
Nakupenda baba, 😍😍Kama nikizingatia context nzima ya hii thread, the said spy ni wewe and you knew it hata kabla sijaandika hapa.
Nakupenda pia binti yangu❤️.Nakupenda baba, 😍😍
Nakupenda pia binti yangu❤️.
Mna raha sanaNakupenda baba, 😍😍