Nobody is safe in Tz

Kuna watu wanapenda kujifurahisha na keyboard, uhalifu unaofanywa Kenya in the broad daylight wao hawauni. Mbona Al Shaaab walichukuwa mall nzima for two days na mpaka leo hii hawajampata hata mmoja wao, the guys escape mchana kweupee. Huku watu bado tuko huru, watu wakubwa kama kina Mo they feel safe enough kutembea peke yao.
 
Madiwani Kenya huwa hawapokei ulinzi wowote kutoka kwa serikali ya Kenya, hata maspika kwenye bunge za kule mashinani pia huwa hawapewi ulinzi wowote ule. Acha kujiabisha na hadithi ambazo umepigiwa huko vijiweni.
Sorry kwa hilo, ila karibu madiwani wote wanalindwa, hii inaonyesha ni kwakiasi gani usalama ulivyo huko Kenya, kama MO angekua anaishi Kenya, asingeweze kwenda chooni bila walinzi, pamoja na kwamba choo kimo ndani ya nyumba yake.
 
Kwa sasa mabilionea hata kuja likizo inabidi tujipange🙂🙂🙂.

Nilikuwa namuuliza mtu utaratibu wa kuja na bunduki bongo.

Mara paap, Mo akatekwa.
bora ubakie huko upambane na 'tuphani' kuliko watekaji🙂
 
Sorry kwa hilo, ila karibu madiwani wote wanalindwa, hii inaonyesha ni kwakiasi gani usalama ulivyo huko Kenya, kama MO angekua anaishi Kenya, asingeweze kwenda chooni bila walinzi, pamoja na kwamba choo kimo ndani ya nyumba yake.
We jamaa bana
ulikuwa unaeneza pumba zako kwamba MCAs(madiwani) Kenya wanapokea ulinzi kutoka kwa serikali ya Kenya na baada ya kukukosoa naona bado hujakoma. Hao madiwani ambao unasema wanalindwa, tuambie wanalindwa na nani? Mbona utawaona mitaani wakiwa kwenye shughuli zao kama raia wa kawaida? Unataka kusema kwamba Kenya hakuna matajiri ambao wanaishi bila walinzi? Ni wazi kwamba hujui lolote kuhusu Kenya na hujatembeza mguu wako nje ya kijiwe ambacho huwa unakesha ukihadithiwa vitu vya ajabu ajabu. Kuna lile jukwaa la umbea, nakushauri uhamie huko ili upunguze hizi aibu ndogo ndogo.
 
Wewe acha maneno weka mziki, Kenya ukiwa na $500,000 tu lazima utafute ulinzi, wabunge wote eti wanakuwa na bodyguards, Women Reps wanalindwa, kila mtu maarufu kidogo lazima alindwe, that is characteristic of failed state
 
Wacha upuzi. Billionaires don’t just disappear, hii ni high crime in broad daylight, kind of stuff that happens in Colombia, Mexico and Nigeria. We endelea kujisifu na hii story.
 
Hahaa,

Mi wakiniteka nawaambia hata mkinimaliza mmenimalizia matatizo ya dunia tu.
Dawa ya kichaa mletee kichaa zaidi.
Tuone kama wanaweza kumteka suicide bomber.


Una Kiranga haswa Kiranga! 😀

Nipenda sana hii lakini.
Wasiojulikana wanateka mtu, halafu mara Paaap!
Wanakuta mtu kajivika ma C-4

Kitachoendelea anajua Mola...LOL!
 
Do you understand the scope of this story????.. inaonekana nyi wawili mko na shida ya kuelewa simple repercussions.
This guy employs over 26,000 Tanzanians, controls almost half the wealth floating in your stock market alafu unaniambia ni jambo la kawaida!
Na polisi bado hawana idea 💡! There’s no cctv or hotel footage!. Maajabu!
 
Una Kiranga haswa Kiranga! 😀

Nipenda sana hii lakini.
Wasiojulikana wanaateka mtu, halafu mara Paaap!
Wanakuta mtu kajivika ma C-4

Kitachoendelea anajua Mola...LOL!
Nilivyomaliza kuandika hapa ilibidi nicheke mwenyewe saana tu kama kichaa.

Nilifikiria hivyo hivyo.
 
Your trying so hard to make this thing bigger than the air we breath in.

So if his not there, no one else can run the company? Are you telling us if you loose your arms today you won't eat again? How come safaricom didn't collapse when Bob went on sick leave.

PS, and who said there was no CCTV?
 
Moral of the story Tanzania image is badly tainted by this story, every minute this dramas unfoalds the worse it becomes. Mi natazama hii story ulaya & I can tell you it’s all over the media outlets.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…