Noebillions ni tapeli mkubwa wa forex Tanzania

DERIV wamefanyia Kazi changamoto ya Kudeposit na kuwithdraw tulikuwa tunawategemea Sana payment agents , yani unamtumia mtu hela ambaye hata hujawahi kuonana naye akuwekee kwenye account yako[emoji16] Hii njia ilikuwa na utapeli mwingi Sana , na muda mwingi DERIV wenyewe walikuwa wanapata changamoto ya kusuruhisha hizi kesi za utapeli .
Pia maagent NI kama walikuwa wanajipangia Tu Rate yao muda mwingi rate ilikuwa chini Sana ukihitaji kutoa , na wanaongeza rate ukihitaji kudeposit

Sasa Kuanzia Jana Tarehe 21 November 2023 NI rasmi Deriv wameongeza njia mpya ambayo haina utapeli unadeposit na kuwithdraw kupitia M-PESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY direct bila kupitia kwa agent yeyote na Rate NI fixed , kutoa NI hiyohyo na kudeposit NI hiyohyo [emoji119][emoji119]
Minimum deposit NI $5 Tu

Deposit Fuata Hatua zifuatazo
Login kwenye account yako>>Cashier>>Deposit>>Deposit via bank wire,Card and E-wallet>>Chagua TIGOPESA,MPESA/AIRTEL MONEY

Wale wanaohitaji kufungua account tembelea link Hii Online trading with Deriv | Simple. Flexible. Reliable.

Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
 
Hapana.

Nipo ktk tafiti ktk maabara yangu binafsi.

Hizo automation baadae sasa nitaamua nizifanyie nini ingawa akili yangu inawaza kujikita zaidi ktk simulation na operation za kijeshi.
So basically you are a coder,or just a creative tech savvy who is just using the available ready made tools combined with new ideas/concepts to create new product or just to bring a desired results
 
Hapo watu wafungue account kupitia link Yako ili upate commission,kweli fursa ni kuwahi ahh aaah safi sana
 
So basically you are a coder,or just a creative tech savvy who is just using the available ready made tools combined with new ideas/concepts to create new product or just to bring a desired results
Kinda.....

Due to my exposure in Aviation and Millitary Industry, I can say that it motivates me a lot to conduct this research.
 
Kuna jamaa Yuko Instagram pia anaitwa Ibrahim inano,huyo dogo anauza bot na Jana nimekutana na dogo Mmoja analo nimeliona kwenye laptop ya dogo kwa kweli Hilo bot ni genuine kabisa nimekaa na jamaa ana trade deriv v 75 kwa muda wa kama masaa 6 hivi bot limetoa Dola 30 mpaka Dola 120 huku Mimi naona sema linahitaji uwe unafatilia Kuna muda Fulani linakwenda against na trend au linaweza likawa Linafungua tu order nyingi kadiri unavyomake profit so lazima uwepo unalizima na kuwasha pale unapoona Lina kwenda tofauti au unapoona faida inatosha,kifupi ni kuwa pamoja na kutumia bot ni lazima forex uijue pia
 
Kikubwa simtapeli mtu yeyote mkuu [emoji16], Mimi pesa zangu NI halali , au nianze kuuza mabots[emoji23][emoji23]

Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli ni vizuri pia hata bots uza tu kikubwa yawe yanapiga kazi kama utaweza kuya design Mimi mwenyewe nataka nianze kuyatengeneza niwe nauza maokoto hayo
 
Mimi naamini biashara inayomake Profit haitangazwi.

Ukiona mtu a akushawishi kwenye biashara inayoingiza mabilioni ili hali na yeye maisha yake ni hohehahe........basi ujue hiyo biashara wewe ndio mtaji wake.
 
Wewe hujiulizi anahangaika kutafuta Dola yako 50. Ila anakuahidi utapata Faida Dola 1000.

Kwanini yeye asiweke hiyo dola 50 akaipata faida ya dola 1000 lakini anahangaika na wewe?
 
Waingereza wenyewe hawatapeli?
Waingereza wengi au traders kutoka nchi hiyo, ndio wanaofanya kazi kweli.
Sijaona tapeli hadi sasa. Na hawapo humu mitandaoni. Na hawana sifa za kuonyesha mapesa haya. Wengi tu bongo hapa wanafanya kazi na makampuni makubwa na watu wakubwa. Niliwahi pita huko kikazi si kimaigizo kama watu wengi wanaopita humu na kuandika machungu ya forx. I came about kujua waingereza au traders wengi wa UK hawanaga shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…