Noel mwakalindile ni nouma!

Gwaks makono

Senior Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
109
Reaction score
16
Jaman wanajf huyu mwandish wa tbc ni nouma anatangaza vizuri sana na anastahil pongez karipot vzur sana uchaguz mdogo wa igunga!
 
Kiukweli anajitahidi kuliko wengi pale TBC wakina Jaffar Haniu yani yule ni Gamba tena la mpingo
 
Kiukweli anajitahidi kuliko wengi pale TBC wakina Jaffar Haniu yani yule ni Gamba tena la mpingo[/QUOTE]

SAWA NA MWEZIE MARINE HASSAN
 
Umekuwa kama wana Ngwasuma ambao ukiwapa 10,000 watakupaisha jina lako usiku mzima kwenye muziki wao
 
Angekuwa hayuko TBC ningempa sifa, ila TBC ishakuwa CCMBC (CCM Broadcasting Cooperation)!
 
Kwa kumwandika hapa tayari ushamsababishia wanaintelijensia wa magamba kum-target!
 
unavyo msifia unamsababishia matatizo.bora iwe siri yako utasababisha mazingira yake ya kazi yawe magumu.unamkumbuka yule mama aliyekuwa anatangaza mpira uwanja wa uhuru?sasa hivi uliza yupo wapi.waandishi wengine wanabolonga ili familia yake iende chooni.
 
huyo mwandishi alikuwa anaitwa nan?
 
Jaman wanajf huyu mwandish wa tbc ni nouma anatangaza vizuri sana na anastahil pongez karipot vzur sana uchaguz mdogo wa igunga!

Yah!!! Yuko njema sana,anajua kupangilia matukio,sio Igunga tu,kila habari anayoleta Noel uwa imekaa sawasawa...kichwa yake ipo safi,sio kama za akina Cyprian Musiba nk...
 
Kiukweli anajitahidi kuliko wengi pale TBC wakina Jaffar Haniu yani yule ni Gamba tena la mpingo

SAWA NA MWEZIE MARINE HASSAN[/QUOTE]

Mkuu Marine Hassan nasikia ni mweupe sana,hasa kwenye Lugha za kigeni(Kiingereza)ambacho nadhani ni vyema mwandishi wa habari akajua hata cha kuombea maji....Jaffar Haniu ni mnafiki yule....
 
Nimefanya kazi wakati flani na Haniu J kweli jamaa ni gamba balaaa mnafiki,muoga, Marine Hassan ndo kabisa huwa sielewi alipataje kazi TBC, hivi ni mtanzania kweli yule?
 
ni kazi yake inayomfanya aishi lazima afanye hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…