ni kazi yake inayomfanya aishi lazima afanye hivyo.
Jaman wanajf huyu mwandish wa tbc ni nouma anatangaza vizuri sana na anastahil pongez karipot vzur sana uchaguz mdogo wa igunga!
Hivi huyu mtangazaji yupo wapi siku hizi na nini kilichomtoa TBC?
Sent using Jamii Forums mobile app