Simu ni ya kwangu, niliinunua for temporary usage baada ya simu yangu niliyokuwa naitumia kupasuka display. Kwasasa nimeshaifix simu yangu hiyo ya awali hivyo nataka kuiresale hii niliyotumia kwa muda mfupi.
Sifa zake ni ram 4 gb ,snap dragon 460, 64 gb internal storage, Camera 3 yaani 13mp, 5mp, 3mp. Inarun android version 10 . Kwa maelezo zaidi waweza icheck google kupitia tovuti ya gsm arena.
Akhsanteni nakaribuni tufanye biashara.