Hizi simu ni nzuri sana mkuu, mm 2018 nilikua na Nokia 6, ziko siriaz sana, lada hio capacity yake iko kawaida ila kwa sim ya kutulia jiwe ni hioBetri capacity?
Umeelewa alichouliza kweli🤔Hizi simu ni nzuri sana mkuu, mm 2018 nilikua na Nokia 6, ziko siriaz sana, lada hio capacity yake iko kawaida ila kwa sim ya kutulia jiwe ni hio
4000mahBetri capacity?
PostaUliinunua wapi?Kariakoo?
4000mAh kwa matumizi ya kawaida unaenda nayo siku mbili....kwa heavy user a day.Nokia nazikubali sana
...Lakn ujaweka utunzaji wa charge make simu charge bana.
Ilikuwa kwa zile zenye port ya micro usb 2.0. Kwa type C hiyo kitu sijakumbana nayo.Shida zake ni system charge
Refer to nokia 3.1Ilikuwa kwa zile zenye port ya micro usb 2.0. Kwa type C hiyo kitu sijakumbana nayo.
Nashukuru ila naprefer Cash Ndugu. [emoji120]Nikupe infinix smart 4 used na 150'000 juu..