Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ก๐ผ๐ธ๐ถ๐ฎ ๐ฏ๐ฎ๐ญ๐ฌ ๐ถ๐บ๐ฒ๐ฟ๐๐ฑ๐ถ ๐ง๐ฒ๐ป๐ฎ ๐ฏ๐ต๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฐ ๐ท๐ฒ ๐๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ถ๐ป๐๐ป๐๐ฎ ??
Unakumbuka Ile simu original ya Nokia 3210 iliyoachiwa mwaka 1999. Hatimaye imerudi Tena kwa mara nyingine mwaka 2024.
Simu hii pendwa imekuja ikiwa na mabadiliko kadhaa yenye kuifanya kuwa simu ya kuvutia , ikiwa na kamera kali Pamoja na mambo yafuatayo ๐
๐ก๏ธ 4G connect imekuja ikiwa na mtandao wa 4G kwenye kupiga calls na kuperuzi.
๐ก๏ธ Bluetooth ya kisasa yenye Kasi kwenye kusafirisha data sio poa.
๐ก๏ธ Betri imara inaweza kukaa na chaji siku mbili na kuendelea bila kuzima.
๐ก๏ธ Imekuja na app ambazo ni cloud app portal zikiwa na YouTube short unaweza tizama video,music,news ,weather nk.
๐ก๏ธ Umemisi Game la nyoka utacheza ikiwa na level tofauti tofauti.
๐ก๏ธ Imekuja ikiwa na rangi Grunge black , Scuba Blue na Y2K Gold simu inapendeza ukishika.
๐ก๏ธ Kamera ya 2MP Yenye Y2K snap kidogo picha zinatoa zenye ubora.
๐ก๏ธ Flash torch ๐ฆ yenye kutoa mwanga mzuri wakati unamulika sehemu ya kiza.
Nilichokipenda zaidi ni kwenye batani zenye muundo T9 KEYBOARD yenye ujisikie Raha kuchati muda wote.
๐งฟ Gharama yake Euro ๐ถ 75 (uingereza)
๐งฟ Wakati marekani dollar ๐ฐ$ 95.
Umeshawahi kutumia hii simu tuachie maoni yako?
#Nokia #nokia3210 #NokiaMobile #Fahamu #simumpya #technews #TechNews2024