Nokia 3210 imerudi tena 2024. Je, unaweza kuinunua?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—ก๐—ผ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐Ÿฏ๐Ÿฎ๐Ÿญ๐Ÿฌ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฟ๐˜‚๐—ฑ๐—ถ ๐—ง๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐—ฏ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฐ ๐—ท๐—ฒ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐—ป๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ฎ ??



Unakumbuka Ile simu original ya Nokia 3210 iliyoachiwa mwaka 1999. Hatimaye imerudi Tena kwa mara nyingine mwaka 2024.



Simu hii pendwa imekuja ikiwa na mabadiliko kadhaa yenye kuifanya kuwa simu ya kuvutia , ikiwa na kamera kali Pamoja na mambo yafuatayo ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ›ก๏ธ 4G connect imekuja ikiwa na mtandao wa 4G kwenye kupiga calls na kuperuzi.



๐Ÿ›ก๏ธ Bluetooth ya kisasa yenye Kasi kwenye kusafirisha data sio poa.
๐Ÿ›ก๏ธ Betri imara inaweza kukaa na chaji siku mbili na kuendelea bila kuzima.



๐Ÿ›ก๏ธ Imekuja na app ambazo ni cloud app portal zikiwa na YouTube short unaweza tizama video,music,news ,weather nk.
๐Ÿ›ก๏ธ Umemisi Game la nyoka utacheza ikiwa na level tofauti tofauti.



๐Ÿ›ก๏ธ Imekuja ikiwa na rangi Grunge black , Scuba Blue na Y2K Gold simu inapendeza ukishika.



๐Ÿ›ก๏ธ Kamera ya 2MP Yenye Y2K snap kidogo picha zinatoa zenye ubora.
๐Ÿ›ก๏ธ Flash torch ๐Ÿ”ฆ yenye kutoa mwanga mzuri wakati unamulika sehemu ya kiza.



Nilichokipenda zaidi ni kwenye batani zenye muundo T9 KEYBOARD yenye ujisikie Raha kuchati muda wote.
๐Ÿงฟ Gharama yake Euro ๐Ÿ’ถ 75 (uingereza)
๐Ÿงฟ Wakati marekani dollar ๐Ÿ’ฐ$ 95.

Umeshawahi kutumia hii simu tuachie maoni yako?

#Nokia #nokia3210 #NokiaMobile #Fahamu #simumpya #technews #TechNews2024
 
Siwezi kurudi huko kamwe, Samsung ndiyo babalao
 
To late..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ