Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Tayari nimeambatanisha na picha hapo juu mtaalamKapicha bhasi
Sema sijajua namna ya kuunganisha nyuziHuu Uzi ungeunganishwa na ule mwingine unaohusu kuuza na kununua smartphone
Ndugu yangu nimenunua 400,000/= cash na sisiti ninayo, hapo nimepunguza 100,000/= nzima ili itoke haraka sababu kuna simu nyingine nataka niongezee hela niichukue.Nipo njiani nakuja Mbeya, kama 200k itapendeza tumalize hili.
Mkuu mimi nimetoa ofa yangu tu, ikikupendeza.Ndugu yangu nimenunua 400,000/= cash na sisiti ninayo, hapo nimepunguza 100,000/= nzima ili itoke haraka sababu kuna simu nyingine nataka niongezee hela niichukue.
Wewe mkubalie tu, mwenzako amefunga safari toka Arusha kwa ajili ya simu yako, huyu ni mnunuzi wa uhakika na ni wachache wanaoweza kifunga safari kwenda kununua kitu kwa mtu wasiyemfahamu, muuzie tu.Ndugu yangu nimenunua 400,000/= cash na sisiti ninayo, hapo nimepunguza 100,000/= nzima ili itoke haraka sababu kuna simu nyingine nataka niongezee hela niichukue.
Basi hapo ongezea hamsini iwe 250,000/= nikuachie mzigo huu mzeeMkuu mimi nimetoa ofa yangu tu, ikikupendeza.
Hii simu ni line mbili au mmoja?Simu imetumika wiki Tatu Tu.
Simu ni mpya na upya wake. Simu ipo kama unavyoiona kwenye picha hapo Chini.
Your all welcome...........,........,.
View attachment 2285086
Line mbili bossHii simu ni line mbili au mmoja?
Box pamoja na risiti yake vyote ninavyo boss...Kwahiyo kila kitu chake unacho mpaka box?
Ulikaa kimya nikajua ishauzwa, kwa sasa nipo S/wanga tunafanyaje?Basi hapo ongezea hamsini iwe 250,000/= nikuachie mzigo huu mzee
Kweli nilipotea hewani kwa muda... Mimi nipo mbeya hapa mtaalam, kama utageuza siku za hivi karibuni simu bado ipo.Ulikaa kimya nikajua ishauzwa, kwa sasa nipo S/wanga tunafanyaje?