Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Ni simu tajwa inauzwa, imenunuliwa dukani TSH 340,000/= leo inauzwa bei yeyote kwa maelewano piga 0715 011 406 tumalize biashara
Window 8, line 2, whatapps n.k ni toleo jipya la sasa
Lengo la kuuzwa ni kununuliwa simu mbili aina hii pasipo kutaarifiana na mkewangu nikaikuta nyingine.
ASANTE!
tuta-amini je kama usemayo ni kweli ? simu za wizi ni nyingi siku hizi.
Duh! dunia ngumu.
Haya utapewa risiti yake niliponunua tigo shop plus TRA risiti na warranty card ya mwaka kwa jina langu kamili.
Kuna lingine mkuu.