MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 870 Reaction score 531 Mar 15, 2013 #1 Hi WANA JAMVI Jamani naomba kuuliza hii nokia Lumia 900 inatembea bei gani dukani kwa sasa ?? au kama kuna mtu anayo used !!!
Hi WANA JAMVI Jamani naomba kuuliza hii nokia Lumia 900 inatembea bei gani dukani kwa sasa ?? au kama kuna mtu anayo used !!!
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,085 Reaction score 8,409 Mar 15, 2013 #2 Au$ 795 tembelea www.jbhifi.com.au
MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 870 Reaction score 531 Mar 15, 2013 Thread starter #3 I see hujanisaidia kabisa nauliza inatembea sh ngapi kwa hapa Bongo ??? sio unatupia link badala ya bei !!
I see hujanisaidia kabisa nauliza inatembea sh ngapi kwa hapa Bongo ??? sio unatupia link badala ya bei !!