Jamani nawaombeni msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya ku connect Internet katika Nokia N8.
Nimewapigia Airtel na Zantel wote wanasema hawana settings za hiyo simu. Zantel wakanieleza nitume ujumbe wa hiyo model by SMS halafu nitajibiwa settings zake. Nikafanya as instructed majibu yakaja kuwa no settings za hiyo model.
Na imani jukwaa hili halishindwi kitu. Naomba msaada.
hiyo cm yako ni orgnal or mchina
Original Mkuu. Made in Finland.
R u sure NOkia yako ni ya finland .????!!!!!Angalia usije ukawa umeuziwa kanyaboya. kwa label ya made in finland. Kwa suuply chain ya Nokia ilivyo hakuna Nokia original zinazkuja Tanzania au africa kutoka scandnavia.
Kama si China Nokia original zinazokuja Africa ni kutoka Hungary