Waungwana naomba msaada wa jinsi ya kutumia simu yangu Nokia N95 Nsiries kama mordem. Computer yangu ni aina ya Compaq yenye window Xp professional. Msaada tafwaaadhali.
Umekwama wapi mkuu? jaribu kunyoosha maelezo, je umefanyaje na ikawaje au huju pa kuanzia kabisa? hii itawapa wataalamu namna nzuri ya kukusaidia.
Je umedownload na ku install nokia pc suite ktk pc yako?