Kuna jamaa yangu ameinstall pc suit kwenye pc yangu dell d620 kwa sasa ninaweza kucheza tracks kutoka kwenye nokia yangu n72 lkn cwezi kupata access ya internet nnapojaribu handset yangu inanipa ujumbe kwamba pc suit support has expired.How can i update the expired pc suit support?
Yea anatakiwa ku update!Mambo ya PC suite yalikwisha kufa siku nyingi. Download Nokia OVI suite ndio itafanya mambo yote ya pc suite na mengine ya ziada.
nokia ovi itaweza kuifanya handset yangu kutomika kama modem?