Nollywood Surpasses Hollywood As World’s 2nd Largest Film Producer

Icadon

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Posts
3,581
Reaction score
193
Swali langu hizi movie zinalipa in terms of mauzo?

For more information on Nollywood films visit Nollywood.com | African Movies.
 
Big Up,

Tunataka quality na market penetration on the internation scene iongezeke pia, siyo namba tu.
 
.....Du movie zao zenyewe mostly ni milipuo na kuvaa full makanga tu, quality wise mtanisaidia!! Chache sana ni makini.
 
Mimi wala huwa sihangaiki kuziangalia movie za Kinaija
 
Jamani first lady wangu ananiboa sana kwa kupenda kuangalia hizi movie za wapopo, basi akianza tu mimi napata sababu ya kwenda pub! Quality ni mbovu sana, yani nyingine utadhani ni zile video za ubarikio watu wanazochukua majumbani mwao, afu ukiona moja ndo kama ushaona zote kwa kuwa zime base kwenye theme kuu tatu- mapenzi, dini, uchawi!
 

Si wanashoot directly kwenye videos. Ila hizi movie mimi ndio zilishanishinda najua NN cuppy wako anazipenda(speculating) lol kama just like every other bongonian chick.
 
Kwakweli wanawake wengi wasioenda shule ndo wanapenda picha za kinaija. Sio wote, ila wengi washabiki ukichunguza sana utakuta shule ni mgogoro au ya kuunga unga!

Mcheck my waifu wako utagundua!

Hizi picha za kinaija kibaya zaidi wabongo wanaigiza, basi gari inaanza kutoka kwenye ofisi posta mpya mpaka ubungo inaonyeshwa...mpaka anaingia ndani kwake. 5 minutes unaangalia gari tu.

Halafu SAUTI. Angalau wanaija wameshaanza kumudu sauti ya waigizaji, sasa ngoma ipo kwenye sound track!!! DUH!!!

Tatizo la wabongo kwenye kuiga ni kuwa hapa bongo, movie makers wengi hawana ujuzi na hizo movie au wala hawakuwa wapenzi wa movie, na WENGI wa waigizaji ni wale waliokosa kazi mmbadala ya kufanya!.

The whole industry in Bongo is a mess!!! LOW budgets, siku nne movie imeisha!

I love bongo

FP
 
sibishi zinapedwa sana na wanawake uswahilini,sijui labda sababu hata kama huelewi lugha unaweza kisia kinachoendelea
 
Kwakweli wanawake wengi wasioenda shule ndo wanapenda picha za kinaija. Sio wote, ila wengi washabiki ukichunguza sana utakuta shule ni mgogoro au ya kuunga unga!
Mcheck my waifu wako utagundua!
This can never be true coz mke wangu amevuta shule ya nguvu kuliko hata mi mwenyew na sio yeye tu ndo anapenda kuwatch hizi movie, hapa UK nyumba nyingi za wabongo nikiingia nakuta wanawake wana subscribe kwenye Nolywood TV na wengi ni wasomi,wengine wanasomea PHd! nahisi hizi movie za kinigeria zina mambo mengi ambayo wanawake wanayapenda, its nothing to do with their shule. Na si kwamba wakiangalia hizimovie hawaangalii za kizungu, wanaangalia zote zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…